Search results

  1. timu bamia

    Biashara ya mifugo (ng'ombe, mbuzi, kondoo n.k)

    mkuu tuwasiliane naweza kukuuzia,mm nachinja ng'ombe aina tofauti June ng'ombembaza, ng'ombe masai na nk sasa nitakuuzia nyama kutokana na pesa yako....namba zangu 0659402895
  2. timu bamia

    Siku ya tatu Gongo la Mboto hatuna umeme

    mkuu kuna transifoma kubwa wanabadilisha kwa jina sipajui ila karibu na kiwanda cha namera
  3. timu bamia

    Huawei y530 vs Tecno M5 naomba ushauri

    ongeza 10 nikupe tecno phantom F7
  4. timu bamia

    Tofauti ya Wachina na Wahindi Wakiwa Tanzania

    wahindi ni wabinafsi sana kazi mnafanya moja lakini mshahara anakuzidi wakati kazi zote unafanya wewe kilichobaki ni kuwafukuza tu waende india
  5. timu bamia

    Mikopo ya haraka na masharti nafuu

    vigezo kwa mkopo wa mil 2
  6. timu bamia

    Je huu ni upambavu wa wanawake au ni ujanja kwao?

    tukinyimwa pupuchi tutapata wapi lazima tutumie taaluma yetu ili tuwapate kilaisi
  7. timu bamia

    Biashara ya Seat Cover za baiskeli

    mali ipo nyingi kwa anayeitaji piga simu no 0758960117
  8. timu bamia

    Mkopo wa gari

    habari zenu wana jf ninaomba msaada kwa anayefahamu kampuni inayotoa mikopo ya magari nina weza lipa nusu ya bei.
  9. timu bamia

    Je, majini ni kitu gani na yanataka nini?

    embu tueleze uliliita kwa njia ipi na lilitaka likufanyie kazi ipi
  10. timu bamia

    Uliwahi kusikia hizi tamaduni?

    na mimi nitakuita siku moja
  11. timu bamia

    Diamond Platnumz apiga bonge la shoo Coco beach kwenye Coke studio

    watoto wa uswazi hao hawaendagi kwenye shoo za kulipia hapo ata angekuja mr nice wangemzingira tu
  12. timu bamia

    Nyota katika bendera ya ACT-Tanzania na dhana inayojengwa

    mnamo tarehe kama ya leo mwezi kama huu na mwaka...kufanikiwa kupata usajiri....sasa mkuu mbona kama kama nyingi sana ina maana hauna uwakika? na ikiwa mwezi huu na tarehe ya leo ina maana mlisajiri hicho chama chenu wapi maana siku ya jpili ofisi havifunguliwi sasa nyinyi mlisajiri wapi hicho...
  13. timu bamia

    Nimemshitukia mke wangu

    yanakuhusu ndio maana ukasoma na kukoment
  14. timu bamia

    Naseeb Abdul maarufu kama 'Diamond' ashikiliwa na Polisi kwa muda

    tegemea faini tu hapo mchezo kwisha
  15. timu bamia

    Kwa wanaume tu, wanawake msome tu

    ukiona mtu anajisifu kwa kumfanya mwanamke ujue huyo mwaume amuitaji huyo mwanamke
  16. timu bamia

    Askari wa usalama barabarani waumbuka, Siri kubwa yafichuliwa

    wewe utakuwa trafiki au mtoto wa trafiki
  17. timu bamia

    Tamasha la Fiesta limenipatia mpenzi pasipo kutarajia

    utakuja kuibiwa ----- wewe...mtu umjui unampeleka nyumbani kwako akikufia je
Back
Top Bottom