Search results

  1. nalo neno

    Msaada anayejua upatikanaji wa mashine za kamari zile za kuweka 200

    Mkuu naomba nitumie hayo mawasiliano, Asante.
  2. nalo neno

    Kaka yangu amechomwa Moto kwa kudhaniwa ni mwizi

    Still anaweza kuwa alipotea na kuenda mbali eneo ambalo hamna anaejua kuhusu udhaifu wake. Sasa wenda amefika huko akachukua mali ya mtu (kwa akili yake aliona sawa kulingana na matatizo yake) na kukutwa nayo read handed na kwa kuwa huwa hawawezi kujielezea kutokana na udhaifu wao, basi kibao...
  3. nalo neno

    SoC01 Baadhi ya vitu nitakavyowafundisha wanangu kabla ya kifo changu

    Umesahau kumuhusia kuwa ipo siku na wewe mwanangu utakufa, hivyo na wewe uwahusie wanao Sent from my TECNO CE7j using JamiiForums mobile app
  4. nalo neno

    Kufungua biashara ya barbershop

    Habari zenu sana jamvii. Nahitaji kufungua biashara ya barbershop ya kisasa eneo nililopo, ingawa zipo saluni ndogo ndogo za kiume kama 6 hivi na barbershop za kawaida tatu na zina nafasi finyu kidogo. Je naweza kujitosa na kufungua ilihali kuna saluni nyingi hapa mtaani? Aidha ni biashara...
  5. nalo neno

    Jengo /frame za biashara zinakodishwa Mtoni Kijichi CCM

    Jengo /frame za kisasa kubwa za biashara zinakodishwa Mtoni Kijichi CCM laki 5 kwa mwezi kila moja. Lipo karibu na tawi la CRDB kijichi. Jengo linafaha kwa shughuli za ofisi au biashara ambayo itaweka jengo katika mazingira ya usafi muda wote. Eneo kubwa la parking ya magari Mazungumzo yapo...
  6. nalo neno

    Msichana wako wa kazi unamlipa ngapi?

    Natafuta msichana wa kazi wa nyumbani....mshahara 50000...kama upo tayari ni PM
  7. nalo neno

    Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

    Tunaomba link jamani tuone mamboz aliyofanya laveda
  8. nalo neno

    Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

    Naomba link nione ule uchafu wake mkuu...
  9. nalo neno

    Nanunua magari yenye thamani isiyozidi milion saba

    Plate number ya A B au C?
  10. nalo neno

    Nanunua magari yenye thamani isiyozidi milion saba

    Mzee embu weka picha hapa au nitumie kwa PM
  11. nalo neno

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Dakika ni ya ngapi sasa?
  12. nalo neno

    Nina millioni 80 nataka ushauri wa biashara

    Hizo project zako ni zipi tishirikishe mkuu...wenda unaweza kupata wawezeshaji humuhumu ndani
  13. nalo neno

    Nina millioni 80 nataka ushauri wa biashara

    Issue utapataje nafasi ktk hayo maeneo ili uweke na ww bango/video yako kwakuwa washayawahi....labda uwe mvumbuzi utafute sehemu zingine
  14. nalo neno

    Nina millioni 80 nataka ushauri wa biashara

    Mkuu kwanini hao wenye crane za ton 20 kushuka chini hawanunui za ton 25 kuendelea, ina maana hazilipi au? Kama inalipa kwa kuwa watakuwa na faida kubwa kutokana na crane zao za ton 20 nahisi wangenunua tu...mawazo yangu tu hayo
  15. nalo neno

    Ligi Kuu Tanzania Bara, Raundi ya IV: 18 Oktoba 2014

    Ngap ngap jamani?
Back
Top Bottom