Hakuna mtu perfect akaweza kubalance mambo katika mzani sawa, Binafsi kuna kazi nimeshaziondoa on my to-do list… Na yeye kama kuna vitu vitakwama kwa upande wake tutaona namna ya kuchekecha. Tupunguze expectations tufurahie dunia.
Ndoa ni ya wawili, watatu shetani.
Matola hili jambo linakuzwa kuliko uhalisia, Wanawake wa sasa “Wengi” wanashiriki financially katika “home development” na malezi ya watoto in fully capacity.
Mimi hushangaa sana watu wa Jf huwa mnaishi mitaa ipi ambapo hakuna diversity! Maana JF wanaume wote wake zao hawashiriki financially...
Mwanamke yeyote aliyepewa mimba katika umri mdogo bila kuolewa/kuwa na supportive partner, yuko katika hati hati ya kutengeneza “mtoto wa mtaani” Unakuta binti amezaa akiwa underage, hana elimu, familia haina kipato, familia iko broken kiasi kwamba hata “mama huyu” akifariki hakuna wakumlelea...
1.South Africa (Kuna sampuli za wazuri aina nyingi) Weusi-mamodo, Weupe-Wenye mashape ya hatari, wa maji ya kunde, Wanene, wastani na wembamba.
2.Tanzania (Kuna sampuli ya wazuri aina zote, Weusi, chokolate, weupe, wanene, wembamba, wastani, wenye mafiga ya kuvunja chaga, warefu, wafupi...
We usitake kunichekesha! 😂 au wafupi walikuwa wanaonekana underage? 😅 (wafupi wenzangu mnisamehe)
Nilikuwa natamani nikutane na hiyo scenario ya kukataliwa kuingia au walau nione wanaokataliwa kuingia inakuwaje? Wanapewa sababu au?
Pestana dodoma ili fail na kufa kifo cha mende sababu ya wanachuo kujazana, Under 30 wanapata wapi pesa za kuspend?
Au unadhani night club wanatoa msaada wa kuwapigia music mcheze na kubambiana bure!
Mnapima uwezo wa kiutendaji wa wanataaluma based on malumbano yaliyotokea kati ya Makonda na Engineer?
First thing first, mbele ya kamera huwezi kuwin argument na mwanasiasa, maana yeye mwanasiasa ili aonekane amefanya kazi lazima akuyumbishe na akubabaishe kwenye maswali na majibu.
Pili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.