nimekufatilia tangu mwanzo wa uzi wako nilitegemea nitaona umetoa fungu la biblia linalokusapot twende kuombewa kwa mtumishi, lakini naona porojo za kupiga sadaka tu
Hivyo ndivo Mungu kakuweka kubali hilo kwanza maana ni Edeni yako kama samaki anavotegemea maji, badala ya kupasua kichwa kutafuta usichokua na uwezo nacho boresha asili yako uone itakusaidiaje kufikia mafanikio yako, nakuhakikishia kadri utavojichangamsha kwa watu ndivo utakua kituko zaidi
Sio ajabu matoto ya 2000 yanaonekana kuzeeka, hindi lililotakiwa kukomaa kwa miezi 6 linakomaa miez 2 linaliwa anaekula atakomaa kwa miez 2.
Kuku wakuliwa miez 6 anakomaa wiki 2 ya 3 analiwa, atakae kula atakomaa kwa wiki 2. Mwembe wakukua na kutoa matunda baada ya miaka 4-6 utakua kwa miez 6...
Naona umeuliza swali na umejijibu, ila unachohisi ndicho.
Achana na kina Mwamposa watam manipulate wanavyotaka maisha yake yote maana healing zao ni za muda tu ili uwe hooked kwao
Sijui ni wa imani gani lakini kama unania kwel funga siku 7 uwe unakula jioni tu, katika siku hizo
--acha kufanya...
Madaktari hawakataliwi ila wanaulizwa ili upewe sababu kwanini kamuandikia hivyo kama kapitiwa atajua na atakushukuru ila usikurupuke na elimu yako ya mtaani ukaanza kumprovoke doctor, mfano hapo kuna drip za aina nyingi , mgonjwa wakisukari kimepanda huduma ya kwnza ni drip ya NS ili kushusha...
"Mbegu zimekusudiwa kumwagwa ndani ya uke wa mwanamke aliyeunganishwa kwa ndoa nawew,tofaut na hapo hizo mbegu ni halali ya shetani" Rudia hii sentensi tena
Usivunje condition ya kuunganishwa hata kama utamwaga ndani
Kwaiyo nazungumzia mahali mbegu humwagwa sio muda wa kumwaga
Ufumbuzi wa shida zao upo huko makisani na watu wengi wanapokea inahitaji kufata kanuni na taratibu tu za maandiko, sasa shida watu hawapendi kufata taratibu na kanuni wanapenda shortcut na mtelemkoooo kitongaa yan wapokee huku wanadanga wapokee huku wanafanya biashara haram wapokee huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.