Search results

  1. H

    Elections 2010 Matangazo ya CCM RADIONI YANA BORE!!!!!

    Tunawajua nyie mko wengi na mnasubiri kurithishwa na baba zenu basi ,hakuna lolote.mtaanguka tu hata kama sio leo mafisadi wakubwa nyie.I HATE CCM I HATE I MEAN IT!!!!!!!mmewapoteza watz wengi sana kwa njaa zenu!!!
  2. H

    Elections 2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

    Jamani nchi hii kwa kweli lazima tukubaliane CCM wakati wao umekwisha,tangu 1977 hakuna jipya walilolifanya na hakuna hata kiongozi mmoja wa CCM anaefaa kutuongoza kwa sasa kwa sababu kama angekuwepo basi tungeshamuona kajiondoa kabisa CCM na kuhamia upinzani. nadhani kiongozo yoyote wa upinzani...
  3. H

    Imani yetu kwa serikali ya Kikwete

    NO.............vipi mbona box za kupigia kura zimeibwa hata humu??????????jamaa hafai hata kwa kulumangia
  4. H

    Elections 2010 MAHANGA umewafanyia nini jimbo lako la Ukonga

    Dah,afu huyo mjamaa ni Waziri......na eti inasemekana ni mshkaji wake jamaa na alikuwa akimtafutia vidosho basi ndo akapewa ka jift box hako...ka u waziri. kazi kwenu wana ukonga/segera......................
Back
Top Bottom