Mjinga hata ukimpa neno la busara hawezi tafsiri zaidi ya kudhani ni ujinga kadiri ya uwezo wake ulipokomea.
No sense if ones thinking is full of no sense!
Haya ulipaswa kuwaambia watawala kwanza waachane na dhana ya utawala tena kandamizi warudi kuwa viongozi wenye dira iliyotengenezwa na malengo ya jumla ya watu.
Ingekuwa hivyo tusingechukuliwa rasilimali zetu kwa kiasi hicho!
Siku interest za hao watu zikiguswa kwelikweli tutaona remote zao zinavyofanya kazi kwa ufanisi!
Jamani hamuoni Kikwete anazeeka sasa?Labda tujue kwanza Nyerere alizungumzia Ukomavu upi!!
Kwa ninavyodhani Nyerere hakuhitaji Kikwete labda akomae in neither way ila aliona soo kumbania hiyo nafasi basi akawa anampa matumaini ya kusubiri wakati.Kwa ujumla mapungufu ya mheshimiwa Nyerere nadhani...
Kwa Maria Roza anachosema ni sahihi ila serikali itakuwa ni ya wahuni kama wa enforce sheria then at the same time wakaendelee chini ya uangalizi wao.
Nadhani serikali ya Malawi ina watu waelewa wenye uwezo wa kuhandle hoa raia wasiendeleze hivyo vitendo huko gerezani.
Hata hivyo hivi vitendo...
Jamani wana jamii naomba tuchambue nini maana ya report iliyotolewa na CIA juu ya ukuaji ama ongezeko la watu kwa kiasi kikubwa huku kundi tegemezi likionekana tatizo kwa uhai wa taifa letu ukizingatia idadi ya wenye kuzalisha inaonekana ni ndogo kuliko wahitaji.
Binafsi sina uhakika na takwimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.