Ndugu nani ka kwambia zanzibar n nchi?? Zanzibar n kama ka mkoa hvi ka SIMIYu na raisi wake n kama head prefect aliyekosa mamlaka mbele ya mkuu wa shule (Tanzania Bara)
Mkuu EXCEl: ukipewa laki nne na nusu kwa miezi miwili na ushee utabakisha kias gan?. Udsm( mabibo hostel), nauli to and fro tsh.800, brk fast 1500, lnch 2000, dinner 2000, maji (mchna na jion) 1200, sabuni, vocha atlst 1000 per 2dyz, pango 750 per day, bado hpo crdb wananakato yao.
Kumbka loan...
Soma kile kinachokusukuma moyoni ucje ukaja ukajuta mbeleni kwa kile ulicho ambiwa usomee wakat hayakua n malengo yako. Ukifanya kitu unachkipenda lazima utakiheshimu na kukifanya kwa jitihada hekima busara na weledi ili uweze kuktimiza. BA in physics ni big deal sana, Taifa linahtaj waalimu wa...
Mm naona hakuna bora zaidi kuliko zingine ila kila kozi ila umuhimu wake katka mazingira yake. Tatizo n ubovu wa mfumo wa kiutawala na elekezi ulio jaa ukanjanjakanjanja katika kuaanda mazingira ya wasomi kukitumia kile walichokisomea. Cha msingi ata kama ulisoma coz ambayo uptkanaj wake wa...
Mkuu mambomoto; course yangu ina specializatn 3 yaan politics, public administration and human resources.. Politcs si ipendelei kabisa ndungu ndo maana naomba unshauri wap n bobee kati ya HR na PA
usawa katka maendeleo ndio kitu wanamtwara wanakililia mpka kesho kwann wanajinufaisha wao tu na mikoa yao kama dsm na arusha? Hatukatai rasimali ya mkoa wetu kutumia na waTanzania wote bali tunatka shughuli zote za uzalishaj gesi zfanyke mtwara na sio kuisafrsha Dar es salaam
Habr zenu wanadungu.. Naombeni ushauri juu ya course hizo mbili yaan Human resourse na PA. Nahtaji kufanya specialization katka course mojawapo kat ya hizo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.