Search results

  1. Mgoneke

    Magufuli aanza kazi J2 kwa vitisho......Kweli aanza vibaya......

    Mwana ukweli nakuunga mkono kwa jibu lako kwa Rutashubanyuma
  2. Mgoneke

    Mh.Waziri Masha HAJUI idadi ya magereza Tanzania

    Hii inaonesha jinsi gani viongozi wetu hawapo serious katika kazi,ndo huyo huyo amesema huwa natembelea magereza yote nchini,aliulizwa pia ni magereza mangapi mapya yamejengwa?Alichojibu ni "Kila mwaka tunajenga gereza jipya",ila hakujibu ni mangapi ni yapo sehemu gani hajui........sasa huyo ni...
  3. Mgoneke

    Brazil to play Tanzania in a friendly

    its good idea kwani ni nafasi kwa timu yetu changa kuonekena ktk anga za kimataifa ktk medani ya soccer
  4. Mgoneke

    Hivi inakuwaje gari ya rais inachomoka tairi?

    Mimi naamini ni ajali kama ajali nyingine zinavyotokea,ile ni gari anytime anything can happen
  5. Mgoneke

    Msichana jini aibuka dar

    Siamini kama ni kweli....hii ni waandishi wanajaribu kutafuta njia ya kujipatia pesa na umaarufu..hii issue imekuwa framed kama ile ya manyoya
  6. Mgoneke

    Manicure na Pedicure kwa wanaume

    Mimi sioni kama kuna ni tatizo,kwani mashoga tu ndo wanaofanya hivyo?Hayo ni maneno ya mkosaji.if you dont feel kufanya kama anavyofanya Kanumba acha.Lakini hiyo ni moja ya usafi
Back
Top Bottom