Kweli ndugu, kama vijana walivyovamia kilimo cha tikiti
Nadhani kilichowapata unakijua[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mwisho wasiku wauza mbegu,madawa na mbolea ndo waliofaidika
love without limits
Mkuu katika harakati za maisha kila MTU anasehem yake yakutobolea, usidhani sehem utakayotobolea wewe ndo nami ntatoboa hapo hapo big NO watu tunashindwa kuelewa hili
Back to topic:wengi wao waliliwa tu na ilikuwa kampeni tu
love without limits
Kesi IPO mahakamani na ieleweke wananchi wakishinda basi serikali itabidi iwalipe wananchi fidia
Hapo ndo tutazidi kuingia hasara
Mpaka 2020 ndo mtaamini pombe si chai
love without limits
Wazo zuri sana mkuu
Kwa uzoefu wangu kwenye swala LA usindikaji hasa chakula unahitajika uwe na chumba kimoja na store tu
Store utakuwa unawekea malighafi na chumba utakuwa unazalishia bidhaa zako na kufanya packaging humo humo ndani
Kuhusu sabuni za miche wala haihitaji eneo kubwa sana ila...
Mkuu sikushauri biashara hiyo inachangamoto nyingi sana ambazo Kwa mwajiriwa zitakupasua kichwa
Kwanza 12m Kwa hiace elewa ni ugonjwa huo unaununua na tenga kama 5m pembeni ya service
Ushauri wangu bora wekeza kwenye kilimo au ufugaji Wa kisasa kama kulima Lima kilimo cha kumwagilia
Fuga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.