Search results

  1. wazabangah1

    Help

    Kwa mwenye uelewa wa hizi flat screen mbili, "Star x na hisense" Yaani kichwa kimegoma kabisa naomba msaada wa maelezo yatakayonishawishi kununua moja ya brand hizo tajwa. Mfuko wangu uko na 300K hivyo nahitaji sana kuwa na huduma hiyo, maana chogo nimechoka kwakweli.
  2. wazabangah1

    Msaada katika hili waungwana

    Nimuhitimu Wa shahada ya sayansi uhifadhi wa viumbe (wildlife management) SUA Niko mtaani sasa kwa muda Wa miaka miwili, ila nilikua najishikiza na miradi ya wazungu lakni kwa jinsi muendeleo ulivyo security inazidi kua ndogo na umri nao unasonga Hivyo basi kunapesa nilikusanya kipind napiga...
  3. wazabangah1

    Naombaa kwa muda huu tuzungumze hili jambo

    Katika maisha kuna vitu vingi Sana, na kila kukicha ndipo tunazidi kujifinza mambo mengi kadiri ya jinsi tunavyojitahidi kujichanganyaa na watu wwngine toka sehemu mbalimbali, Kuna hii kitu, kuanzisha mahusiano na binti na katikati ya mahusiano, ndiipo unapogundua kua mtu ulienae tayari...
  4. wazabangah1

    Hayaa sasa anza kupendekeza wasanii wako uwapendao

    Ni rahisi mno ingiza number hizo hapoo 👇👇👇 kwenye attachments moja kwa moja iwe miongoni contact zako halafu nenda kwenye watsap yako kisha uandike KTMA HALAFU FUATA MWENDELEZO ni rahis Sana na uache kulia lia pindi itakapo toka list ya wasanii na ukakuta umpendae kwa...
  5. wazabangah1

    Jkt kanda ya kaskazini (ARUSHA) nikizungumkuti

    Nasikitika sana, kwa taarifa zilizotufikia nikwamba mwisho Wa maombi ya kutuma jkt ni tarehe 2 April, 2015 Na mpaka sasa Fomu za usaili, hazijatoka sasa kila kijanaa anapata wasiwasi nikitu gani kinaendelea, na je ni vitu gani vinavyofanyika mpka kufikia hatua ya kucheleweshwa kutoka kwa form...
  6. wazabangah1

    We unasema wa nini wapo wanaosema watampata lini

    Mapenzi ni matamu sana hasa ukampata yule akupendae kwa dhati, na kama ni KE mwenye kubembeleza kwa sauti ya upole, na asiwe anapaza sauti pasipo stahili, na kama ME awe mwenye kujua kutafutata na kumsikiliza mpenziwe hasa panapokuwa na uhitaji wakufanya hivyo kwa moyo mmoja. Usiwe mnyonge kwa...
  7. wazabangah1

    SUMA G jamani yuko wapi mwenye ufahamu atujuze!

    Mziki ni mfumo ambao unapopangiliwa vizuri basi huwa na dhamira mbalimbali lakini maudhui ambayo huwafikia watu kwa urahisi ni burudani na kuelimisha, na kila msanii huwa ana style yake ya kuwasilisha mziki wake kwa hadhira ili upate kuwafikia kwa urahisi. Na kuhusu hilo, Suma G...
  8. wazabangah1

    Mapenzi mchana kuanzia Leo mimi wazabangah nasema mwisho

    Dunia ya sasa imekua Kama Kijiji, Usemi huu ni mpana mno na wenye mantiki kubwa hasa kwa mtu mwenye lengo lakujifunza au hata kujiendeleza kifikra kwa njia moja au nyingine. Leo hii kuna social network nyingi na ndani ya hivyo mnayo elimu mbalimbali zitolewamo Kama mtu akiamua kuzifuatilia basi...
  9. wazabangah1

    Nivema kusema kuliko kukaa kimya

    Habari za usiku wana jf, kwa jina naitwa wazabanga, nilikua nashida kidogo, naweza kusema nitatizo au nikutokuelewa kwangu, kuna mwanamke nimetokea kuelewana nae sana, mwanzo tulipokutana ilikua nikwenye pub moja hivi ilioko maeneo ya kitaa chetu yeye kwa pale ni muhudumu basi kijana wenu...
  10. wazabangah1

    Natafuta rafiki wa kike tu

    Mimi wazabanga natafuta rafiki wa kike mwenye sifa zifuatazo . awe ni msema ukweli, ila palipo na uhitaji wa kudanganya asisite afanye hivyo .elimu awe angalau kidato cha nne nakuendelea .asiwe ni mtu wamaswali mengi Sana yatanifanya nishindwe kumuelewaa .kwa mengine mengi ani pm ilitwende...
  11. wazabangah1

    What i real miss is this one

    Jamani mimi wazabangah1, nakumbuka mbali sana nilipotoka mpaka leo nilipo. Nime bahatika kukaa katiaka mikoa mitatu na ndani ya mikoa hiio mmoja kati ya nilibahatika kupata msichana wa kike mrembo nakumbuka ilikua 2012. Kiukweli tulipendana sana, nilideka miye mpaka nkawa mtoto, mapenzi...
  12. wazabangah1

    Basi tu sasa ntafanyaje

    Jamani ni juzi tu hapa nimeanza mahusiano na binti moja wa kimwasi kiukweli nampenda ila sasa, ameanza katabia cha kuniita pamoja na kunitumia message zenye kiianzio cha "Hubby" na kiishio cha neno hilo hilo. Yaani kusema ukweli nakereka basi tu yeye hajui na bado hajagundua kwamba nachukia...
Back
Top Bottom