Search results

  1. M

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Kitu ambacho ccm wanakosea sana ni timing. Nina wasiwasi kwamba watanzania wengi wameshafanya maamizi -kuwarudisha nyuma inahitaji mkakati wa ziada sio propaganda alizotoa Dr Slaa. Kosa kubwa alilofanya Dr Slaa ni kujipambanua kama mamluki wa ccm. Hii inawauza zaidi upinzani zaidi ya kuwasaidia...
  2. M

    Vijana kwenye Maandamano ya kumsindikiza Lowassa walipora mali

    Hii ni kwa sababu- nchi ni yenu wenyewe ccm ndo maana mnaonea uchungu!! Muda wa unafiki unapaswa kwisha. Sasa imebaki kujenga hoja.
  3. M

    Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA

    Hahaha. Huyu alieandika thread anajidanganya sana. Aendelee kufanya hivyo.
  4. M

    Picha: Tofauti kati ya Magufuli na Lowassa wakati wa Uchukuaji wa Fomu za Urais

    Mpuuzi huyu. Hao ndiyo watakao watoa ccm madarakani tena kwa hasira ya wewe kuwatukana. Mjipange upya kwa hoja na sio matusi.Lala manake ukiamka utamkuta Lowasa ikulu
  5. M

    Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

    Ukiona watu wanatumia jazba badala ya kujenga hoja ujue wameshashindwa. Naona wapenzi wa ccm tunatumia jazba kana kwamba tumeshashindwa. Tukubali tusikubali hii ni dakili njema kwa UKAWA.
  6. M

    Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

    Ukiona watu wanatumia jazba badala ya kuanfika hija ujue wameshashindwa. Naona wapenzi wa ccm tunatumia jazba kana kwamba tumeshashindwa. Tukubali tusikubali hii ni dakili njema kwa UKAWA.
  7. M

    Ukiwa kama Intellectual, matukio haya makubwa matatu yanaashiria nini kwako?

    Inaonyesha Lowasa ana haiba ya kukubalika sana. Na kwamba ni hazina pekee ya ccm kwa sasa.
  8. M

    Siri nzito zilizovuja kutoka Team Lowasa hizi hapa

    Hivi unapotunga story kama hizi unakuwa unalipwa eh. Nadhani watu wawe fair-this us too much!!!
  9. M

    Edward Lowassa aungana na Gwajima kumtukana Kardinali Pengo

    Huu ni upotoshaji wa wazi wa ukweli. Ila ni kweli usio na shaka kwamba anaedhani kwamba masikini ndiyo anayefaa kuongoza nchi ni mjinga na amepitwa na wakati.
  10. M

    Watu wa usalama wa taifa fuatilieni huu uhuni unaofanywa na vijana wa Lowassa

    Ukichagua masikini si ndo mbaya sana mkuu. Tajiri haitaji kuiba tena ila kuwatumikia wananchi. Lowasa nadhani anafaa ukilinganisha wote wanaohitaji ccm. Na ccm wakikosea tu kumuweka mwingine UKAWA wamelamba dume. Kwa hiyo mjiandae kisaikolojia ama Lowasa au UKAWA kuongoza nchi.
  11. M

    Next Week: Prof Kikwete, kuvunja baraza la mawziri

    Akibomoa sawa! Akivunja sasa si kawaida tu.
  12. M

    CCM tunatia aibu

    Ngoja niwauli watu wa kigamboni? Wakinijibu nitarudi.
  13. M

    Mbunge wa Nkenge Assumpter Mushama, fedha zetu ziko wapi?

    Sijui ni lini Mungu atatukomboa kwenye lindi la ujinga na upumbavu. Hivi unapomchagua Ghasia kuwa mbunge alafu waziri kwa zaidi ya kipindi kimoja- utafiti unaitajika kujua kama watu wanaoanya hay maamuzi ni wazima wa akili au kuna nguvu ya ziada inatumika.
  14. M

    Nani anafaa Kujaza nafasi za Mawaziri walio wajibishwa?

    Sendeka atafaa sana Arthi. Ila likitokea la kutokea apotee asiingie bungeni manake watamchanachana
  15. M

    Twaweza: Maoni na Matakwa ya Wananchi juu ya Uongozi wa Kisiasa Tanzania kuelekea 2015

    Who is not Fisadi ccm. The thread must be painful to you bacsauae ur father is one oftje beneficiaries of the current weak syste. You wouldn't like a strong person like Lowasa to come into power!! Pole!
  16. M

    Nani anastahili kumrithi Mizengo Pinda?

    Mfumo mbovu wa kupata viongizi na watendaji wazuri uliuwawa na uongozi wa sasa. Ndio maana most of incumbent wana uwezo mdogo katika kutekeleza majukumu yao. Dalili kubwa inaonekana hata wanapoadress public. Wanaongea vitu ambavyo ukitafakari unajiuliza hivi huyu kafikaje hapo. Uongo ndo...
  17. M

    Lowassa kuizindua Helcopta ya Ufufuo na Uzima

    Lowasa ni mtu wa dini anaependa kuona watu wanapata wanachostahili. Hukumu mnayompa ya matusi na tuhuma hakika mnajizolea dhambi. Hakimu wa kweli ni Mungu. Uvumilivu aliyokuwa nayo ni tuzo kutoka kwa Mungu. Ndio maana kwa sasa ukubali au ukatae ndiyo tumaini la wengi katika nafasi ya uraisi...
  18. M

    Jinsi Julius Mtatiro anavyomchambua Jakaya Kikwete

    Hivi kweli eh! Sasa kwa nini tulimchagua? Hahaha watu wa nchi hii bwana wanapenda kulalamika-hata kama hakuna cha kulalamikia watalalamika kwanini hakuna cha kulalamikia.
Back
Top Bottom