Search results

  1. Mzhokomi

    Sheli na wizi wao

    Yan unaend sheli kununua mafuta ya 45k, unapewa lita6.62 x3019=45000?, Yani leo moto pamechimbika
  2. Mzhokomi

    Kilevi cha Konyagi sikielewi, kingine ni 35%vol na kingine ni 35%ABV

    Hawa konyagi hizi alcohol % zao nashindwa kuzielewa au kuna feki hapa. Unakuta wameandika hivi alcohol 35% vol. ,nyingine wameandika 35%ABV sasa hapa ndo nashindwa kuelewa.
  3. Mzhokomi

    Pesa zinazopatikana mitumbani huwa ni halali au ni feki?

    Jana katika mizunguko yangu nilipita kwenye gulio/soko nikawa nimenunua nguo za mwanangu ila nilivyo fika home mdada wa kazi katika harakati za kutaka kufua akakutana na hii noti ya Omani....100 Baisa. Je hizi pesa za mitumbani huwa ni halali au ni feki???
  4. Mzhokomi

    Ushauri: Anataka kunipeleka Ustawi wa Jamii, je sitatoa pesa nyingi kwa ajili ya matunzo ya mtoto?

    Ni kwamba nilikuwa na mahusiano na mdada mmoja hivi ambaye hatukuwa na malengo ya kuja kuishi wote na kila mmoja alijua hilo lakini tukiwa ndani ya mahusiano aliniambia ni mjamzito na hakutaka kutoa mimba,nikaona isiwe taabu nikamwambia nitamlea mtoto. Baada ya mda,wakati mimba ikiwa na miezi...
  5. Mzhokomi

    Mgodi wa Bulyahulu unachafua hali ya hewa

    Kumekuwa na vumbi ambalo si la kawaida linalo toka ndani ya mgodi wa bulyahulu ambalo linakuwa ni vumbi jeupe ambalo ukivuta hewa yake unahisi pua zinawasha sana.Hali hiii imetokea baada ya makinikia kukatazwa kwenda nje ya nchi,sisi kama wananchi wa kakola tunaumia na hili vumbi.tumepeleka...
  6. Mzhokomi

    AJALI SHINYANGA: Basi la Ally's lagongana uso kwa uso na coaster

    Ajali mbaya imetokea asubuhi hii mkoa wa Shinyanga eneo la Kizumbi, Mbuyuni kwenye kona.Basi la la kampuni ya Allys kutoka Mwanza limegongana na Coaster inayofanya safari kati ya Isanzu na Kahama. Watu zaidi ya 60 wamenusurika kifo huku 26 kati yao wakijeruhiwa vibaya.
  7. Mzhokomi

    hodi humu jukwaani

    wana jf habar zenu
Back
Top Bottom