Wewe umeanza vizuri alafu unahalibu mambo yako ya misiagi afadhali ungemuambia akanunue grippwater au mafuta ya samaki pharmacy
Acha kabisa uyu atakuingiza chaka siyagi iko complex ni kama umemuanzishia chakula tu
Inawezekana ikawa inene kwa wengine unaobana mpaka koo anapolala kama kawaida lazima akolome. Kunawengine ni maumbile kua na kasoro anapokua amelala au kijosahau koo la hewa linakua kama limebanwa hivi.kuna wengine matonsiz vidonda vya koo vinasababishaga makovu yanayoingiliana na mfumo wa hewa...
Unajua mimi kamaa nampa credit kwa kua na mahamuzi binafsi na kuyasimamia.issue sio kashifa mimi nilishasahau by the way nani malaika awe na access na asipige alfu mengi yako chini ya kapeti .potelea mbali mimi nitampa kula.ila nel kama unafikili umbadala wake mwenye ijazo wake niambie
yani hii kitu imechukua sura nyingine kabisa yani kwa ninyi mlio mbali mtachukulia poa ila hali si nzuri yani leo ni mabumu ya machozi tena yale yakulia sana yanapigwa ovyo yani duuu. police nao wako kwenye wakati mgumu sana wengine kuna mitaa inawabidi wahame kujisalimisha maisha yao yani...
Unaelezeaje uko tayari kufa kwanext gene .. Wakati navyoongea nawewe kuna mtu kafiwa na mtoto wake sabu ya mgomo. Dakika 25 halizokua hosp wangeokoa maisha. Acha kabisa kuingiza siasa kwenye maisha. Mnahaki kudai maslahi yenu lakini kwa hasala ya nani. Mimi napingana na wewe kabisa ...
jamani mimi nina swali kichwani mwangu linanisumbua sana.naomba nitangazw kwanza sina upande katika hilim na kwamba walichofanya si sahii kabisa . DR ULIMBOKA POLE SANA
JAMANI NATAKA MNIAMBIE MTOTO WAKO WA KUMZAA ANAUMWA GAFLA AKAPANDISHA DEGEDEGE UMEBATIKA KUFIKA MUHIMBILI KWA SHIDA SANA...
Kwamimi sioni tatizo la ukaaji kwa hapo kwasababu kuu mbili kwanza sehemu usika na yatokeayo kinaweza kua sababu tosha. Kwa halaka ilikua ni kama kunasomeka dua tena bila kuko0sea ni ya kiisilamu there was no way out zaidi ya yeye kufanya ivyo kwasababu mungu ana rais sote ni binadasawa kwake...
Mwanangu anaumri mwaka mjoja na kama nusu ivi . Ananiachanganya kwani mala zote kichwa chake ni cha moto sana kama ana homa ila mwili mwingine uko kawaida je ? Hii inaashilia tatizo lolote kwake
jamaa hana msimamo. nachoamini hanaufahamu ukweli ila tatizo ni kwamba hataki kukubaliana nao. belive me anajua nini cha kufanya kwaiyo cha msingi tumuambie atafakali then achukue hatua na maamuzi ni mawili tu .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.