Search results

  1. kendakubonaontwale

    Huduma kwa wateja ya TANESCO Gongola Mboto ni jibu

    Nyinyi Tanesco ninyi mimi siku ya nne hii sina umeme mita IMETEMPle ila kimbembe kupata hiyo no ya kuclear mita ....kila utakapopiga wanakwambia case ipo kwa muhasibu Jamaniii[emoji19] case no 3601 kituo gongolamboto nipeni hiyo number.
  2. kendakubonaontwale

    Huduma kwa wateja ya TANESCO Gongola Mboto ni jibu

    Alafu kauli mbovu mbovu most wanatoa wale wa KIUME wa kike wana afadhali kidogoo yaani wa KIUME akikupokelea simu jiandikie kukwazikaaa. Kuna mmoja anaitwa Jovin huyo afadhali kuna mwingine huyo mpka kujitambulisha hapendagi kabisaaa yaani he is worse. TANESCO mna ubia Naye?
  3. kendakubonaontwale

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO LINI MTANDAO UTAREJEA? NINA SIKU YA TATU SASA SINA UMEME ,MITA IMETEMPLE NIMETUMIWA NO ZA KU CLEAR KILA NIKIWEKA NAAMBIWA REJECTED(SIKU YA TATUU HII). MAFUNDI WA TANESCO WAMEKUJA WANATOA MAJIBU SIMPLE "SYSTEM IPO CHINI IKIKAA SAWA TUTAKUTUMIA NO ZINGINE UWEKE"[emoji3166]HIYO SYSTEM...
  4. kendakubonaontwale

    Huduma kwa wateja ya TANESCO Gongola Mboto ni jibu

    Gongo la mboto huduma kwa wateja mna shida ganiiiii jamaniii ? Yaani mpka tunapiga Ilala ndio mtafutwe ninyi kweliii? .tane usiku ukiwapigia ndio kabisaa jiandikie maumivuu ,hamtoi huduma masaa 24?
  5. kendakubonaontwale

    Hatimaye Uingereza yanyoosha mikono na kupendekeza kufuata nyayo za hayati Magufuli kuhusu kupambana na Corona

    Hujaambiwa usivae nawewe [emoji848]ulishauriwa vaa ila zilizotengenezwa ndani au ulioishona mwenyewe .
  6. kendakubonaontwale

    Watu watatu wafikishwa kortini wakikabiliwa na shitaka la kusafirisha Dawa Za Kulevya aina ya Heroine Kg 30

    Huyu walichelewa wakati wanashtuka ye tiari alishamaliza mzigo pesa akazitakatisha Kwenye maduka hivyo yupo safe kwa sasa
  7. kendakubonaontwale

    Dar: Mtoto Zuhura Ayubu, apigwa, achomwa na kifaa cha moto na baba yake mzazi

    Exactly hii ni depression Huyu baba nahitaji msaada wa haraka .kama hujawahi pata depression huwezi elewa hata kidogo hiii kitu aisee
  8. kendakubonaontwale

    Wizara ya Afya Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kwanini NHIF wanaendelea kuondoa baadhi ya DAWA? Shida ni nini ?
  9. kendakubonaontwale

    Shirika la Afya (WHO) lasema sio sawa kwa matajiri kupata chanjo kabla ya masikini wenye uhitaji zaidi

    Wakati wanaanza kuzigawa nahisi walitegemea Sisi' kupiga kelele zianzie kwetu [emoji38], wameona tupo kimya wanaanza kuja na mkakati mwingine ili mradi tu tuzipate. HATUZITAKI pambaneni nazo wenyewe [emoji16]
  10. kendakubonaontwale

    Designated survivor: Ni kweli Makamba Jr amejitunza asichafuke ili aje kupita kugombea Urais?

    Mmm Makamba hapana kwakweli , labda kama wanataka nchi iludi Kwenye zile zama za kale,
  11. kendakubonaontwale

    Natafuta paka: Panya wananitesa sana, mimi niko Dar es Salaam

    Atakuwa anaishikaribu (jirani) na mfuga kuku
  12. kendakubonaontwale

    Natafakari juu ya kiwanda changu cha toothpicks, sijui ntafanikiwa au sintofanikiwa?

    Pole sana ila usikate tamaa bwana. Ila nimecheka ulivyomalizia vidonda vya tumbo vinakunyemelea
  13. kendakubonaontwale

    Shamim Mwasha, mumewe mbaroni Dar kwa tuhuma za kukutwa na dawa za kulevya

    Inaelekea una uzoefu na haya mambo wewe eee? ( maana waelezea in details)
  14. kendakubonaontwale

    Ijumaa Kuu: Rais Magufuli ashiriki misa takatifu St. Peters Church, Osterbay

    Kwani unataka asilindwe una agenda gani ? ??🧐🧐
  15. kendakubonaontwale

    Hawa waliwahi kutamba sana awamu ya 4 na kutetemesha Jiji

    Daaah umeshuhudia kitu kibaya sana . Mungu pekee ndio wa kuweza kukufutia hiyo picha kichwani mwako Sent using Jamii Forums mobile app
  16. kendakubonaontwale

    Kuna umuhimu wowote kuwa na vipaza sauti misikitini?

    Mwenyewe sio muislam ila nimekwazwa na alichosema kwa kweli
Back
Top Bottom