Search results

  1. Khaleed Shaban

    NAUZA TECNO C5 BEI KITONGAAA

    Habar zenu wakuu Nauza simu tajwa hapo juu ipo vizuri sana na haina tatizo lolote Simu nikama mpya BEI 130000 Nipo DAR ES SALAAM MAWASILIANO NAMBA 0656899091
  2. Khaleed Shaban

    Hp adapter na DVD rom(mlango wa computer)

    Habari zenu wakuu Nauza vifaa tajwa hapo juu Hp adapter imetumika mwezi mmoja tu bei ni sh 20000/= DVD rom yaani mlango wa computer pia upo vizuri unaweza kuutumia kuban cd mbalimbali bei ni sh 25000/= Nipo dar es salaam Mawasiliano namba 0656899091 NB:kisimu changu hakina uwezo wa kuapload...
  3. Khaleed Shaban

    Nauza simu bei ya kitongaaaa

    Nauza simu aina ya Samsung Galaxy S Samsung-1897 Internal memory Gb 16 bei kitongaaaa 60000/= Nipo dar cm ipo kwenye hali nzuri sanaaa Mawasiliano namba 0656899091 Picha nimeshindwa kuziweka hapa
  4. Khaleed Shaban

    LAINI YA TIGO PESA INAUZWA BEI CHEE

    Habari zenu wakuu Nauza laini yangu ya uwakala wa Tigopesa bei 200000/= Laini ina viambatanisho vyote muhimu kama tin number na leseni ya biashara ivyo unaweza kuibadili kua kwenye jina lako Nauza kwasababu nina shida ya haraka Nipo dar es salaam mawasiliano namba 0656899091
  5. Khaleed Shaban

    Kinyozi wa saloon anahitajika

    Habari zenu wakuu Nahitaji kijana anaeweza kufanya kazi zote za salon kama kunyoa na aweze kutumia magic,black,wave nk Salon imekamilika ipo Dar es salaam,Tandale chama eneo limechangamka sana Kwa mawasiliano namba 0656899091
  6. Khaleed Shaban

    Simu aina ya Samsung S3 inauzwa

    Simu bado mpya kabisaaaa Ina miezi mitatu tu tangu itoke dukani Nahitaji 200,000/= TU Nipo dar es salaaam Mawasiliano,namba 0656899091
  7. Khaleed Shaban

    Nauza monitor inch 17 hp

    Ipo kwenye hari nzuri,na haina tatitizo lolote Tangu nianze kuitumia ina wiki mbili tu bei ni sh 65000 Nipo dar namba 0656899091
  8. Khaleed Shaban

    samsung+50000

    nakupa simu aina ya samsung GT-E108sF pamoja na 50,000 cash utanipa simu gani ya smartphone? nipo dar namba ya simu 0656899091
  9. Khaleed Shaban

    Fremu inapangishwa Tandale Dar es salaam, wahi usikose

    Habari zenu wakuu, Fremu inapangishwa ipo maeneo ya tandale chama Fremu ni kubwa na sehemu ilipo fremu kumechangamka sana kwa sababu ipo karibu na kituo cha mabasi na pembezoni kuna kituo cha madereva wa bodaboda Kisimu changu kimeshindwa kuapload picha ili muweze kuiona Kodi ni shilingi...
  10. Khaleed Shaban

    Nakupa 50,000/= na simu ya blackberry curve 8520 utanipa simu gani?

    Hellow ndugu marafiki na jamaa wa JF Nina shilingi 50,000/= cash na simu aina ya blackberry ambayo housing yake imeisha ila bado iko poa sana na nimeivisha kava so uwezi jua kua housing imeisha mpaka uifungue Nimetoa ofa yangu kama haikulizishi wewe pita tu ukiona inakufaa nawe nipe ofa yako...
  11. Khaleed Shaban

    Game supermarket&nakumat

    Habari ndugu wana jf Samahanini maana nimepata tetesi kua game supermarket mliman city pamoja na nakumat wametangaza nafasi za kazi ila sina uhakika ni kazi gani na wanahitaji watu wenye sifa gani Hivyo basi nilikua naomba kama kuna mwenye taarifa kamili anijuze Ahsanteni na mchana mwema kwenu
  12. Khaleed Shaban

    Kiwanda cha kutengenezea mifuko ya plastiki

    Habari zenu wana JF Naomba kuuliza kwa mwenye kufahamu mahali ambapo kuna kiwanda cha kutengeneza mifuko ya plastiki au ya nailoni kwa hapa Dar es salaam Ahsanteni
  13. Khaleed Shaban

    Wanawake kwa Wanaume inawahusu

    Habari zenu wana jamii wenzangu, Ningependa kuwataarifu kuwa kwa kinadada wanaohitaji nguo mbalimbali za kike pamoja na viatu vya kike vinapatikana kwa bei ya rejareja na bei ni nafuu kabisa. Kina kaka pia mnakaribishwa ili muweze kuwanunulia wapenzi wenu ili kudumisha upendo, pia napokea...
  14. Khaleed Shaban

    Nauza Blackberry curve 8520

    Kama inavyojieleza hapo juu nauza simu yangu aina ya blackberry curve 8520. Aina tatizo lolote na bado ipo kwenye hali nzuri kabisa, Nauza kwa sababu nimepata simu nyingine ya kutumia, Nimejaribu kuweka picha hapa ili muione ila imeshindikana hivyo kwa atakaehitaji picha anicheki whatsapp...
  15. Khaleed Shaban

    Vyuo vilivyotoa nafasi za msomo ngazi ya cheti 2015/2016 ni vipi?

    Habari zenu ndugu? Naomba mwenye kujua vyuo vilivyotangaza nafasi za masomo kwa mwaka 2015/2016,kwa kozi za biashara ningependa viwe vya Dar es salaam Ahsanteni
  16. Khaleed Shaban

    Msichana wa hotelini anapatikana

    Bandugu nna dadaangu ana umri wa miaka 23,amesomea mambo ya hotelini anatafuta ajira,anapatikana dar es salaam pia ana uzoefu wa mwaka mmoja.Kwa mwenye uwezo na nia ya kumsaidia mawasiliano namba 0656899091,nawasilisha
  17. Khaleed Shaban

    Mke muislam anahitajika

    Habari zenu wana jukwaa,mimi kijana wa miaka 21,nimejiajiri natafuta mchumba wa kiislam ambae atakuja kua mke wangu umri wake ni 18-24,awe anaejielewa na mchapa kazi kama ukijiona unazo sifa unakaribishwa 0656899091.NB:ni kwa walio na huitaji tu,pia kama ujaelewa pita waaache watakaoelewa...
  18. Khaleed Shaban

    Msaada tafazali

    Habari zenu wakuu kwa anaeweza kunisaidia ili nipate ajira ndugu zangu nitamshukuru sana mm ni kijana mwenye umri wa miaka 21 nipo dar elimu yangu kidato cha nne namba yangu ya cm 0656899091
  19. Khaleed Shaban

    Boda boda ya bei cheeee inahitajika

    Habari zenu wakuuu naitaji bodaboda ya bei rahis kabisaa maana cna kitu mfukoni bajet yangu ni laki tano kama unayo ni pm tufanye biashara nipo dar asanteni sana
  20. Khaleed Shaban

    Ni kitu gani special ambacho hautokisahau kutoka kwa mpenzi wako wa sasa au wa zamani?

    Habari zenu wakuu? Ni hivi katika mapenzi kuna baazi ya vitu ambavyo autokaa uvisahau kutoka kwa mpenzi wako je ni kitu gani ambacho autokaaa ukisahau kutoka kwa mpenzi wako? Mimi binafsi sitosahau mwanya wake wewe je?
Back
Top Bottom