Search results

  1. Red pepper

    Hivi hii ni normal au nina tatizo?

    KWANZA, kweli umerogwa sana. PILI, andika wosia tayari maana maisha yako sio marefu, TATU, kapime afya. NNE, kamwone daktari kwa ushauri (wataalamu wa tabia). Nakuhurumia sana maana hio tabia ni mbaya saana- hakika unachezea maisha yako. Kaa chini halafu ufikirie malengo yako katika haya maisha...
  2. Red pepper

    Mchumba 'angu amemegwa halafu ka confess

    Nakushauri uachane nae kabisa, huyo ni' kichangu', chukua hatua maana mtu kama huyu inawezekana tayari!!! Mimi nionavyo ni kwamba yeye hakupendi ila mdomoni tu. Ni vema utambue kuwa mbuzi hutembea na mbuzi na sio kondoo, pengine na wewe ndo zako ndo maana unaona ugumu kumwacha. Mchezea shilingi...
  3. Red pepper

    Jinsi wageni watakavyo leta vita Tanzania!

    Tanzanians are not afraid at all. In fact they are intelligent and very skillful in their duties. We complain due to the level of corruption from our neighbors. We are better off than kenyans in all aspects except bragging & tribalism.
  4. Red pepper

    Dear TANZANIANS

    Ubarikiwe masanilo, wabongo wana kasumba kuwa 'kilicho bora hutoka nje'. Nafikiri hatujiamini!
  5. Red pepper

    Tanzania yetu ina majasusi wa aina gani?

    Hapa hakuna majasusi. Waliopo ni informers tu. Kwanza jasusi huwezi kumjua kwa sababu anafanya kazi kwa usiri mkubwa, hio ni sifa ya kwanza. Pili, ni 'intelligent' sana, anajua mambo mengi nk. Hapa watu wanaona ujiko kujulikana tu ni informer.
  6. Red pepper

    Laana toka Mbinguni lamsubiri Dunga...

    Gaucho ni bishoo sana, Dunga kafanya cha maana sana. Tuache upenzi tu wa mtu. Mimi nina uhakika Brazil watafanya vizuri!! Ni Maoni tu!
  7. Red pepper

    Msiba Wa Mwana JF

    Poleni wafiwa na wana jf wote. Mungu awatie nguvu. Ninawakumbuka katika maombi. Amen.
  8. Red pepper

    Nikilala na mwanamke mpya jogoo hapandi mtungi

    Jamani acha uzinzi. Pamoja na mahubiri ya ukimwi ya kila siku bado unaleta mambo ya uzinzi! Wewe! wewe! kama hujui kufa katizame kaburi
  9. Red pepper

    Sielewi nimepatwa na nini mwenzenu...

    Ukaangalie afya yako pia
  10. Red pepper

    Sielewi nimepatwa na nini mwenzenu...

    Mimi ni mtu wa misimamo sana lakini katika hili najiona nimepigwa bao sielewi ni mapenzi tu; KWANZA POLE SAANA. UMEKUWA NA UHUSIANO NA WASICHANA WATATU KAMA ULIVYOELEZA. NI VEMA UELEWE KUWA HAYO YANAYOKUSUMBUA SIYO MAPENZI MBALI NI TAMAA(LUST). TAMAA YA MWILI NI TATIZO KUBWA NA ILI KUPONA NI...
  11. Red pepper

    I Am Sooooo Jealous

    Jilasi ni ugonjwa wa kisaikolojia, unatokea kwa watu wasiojiamini sana sana. Ni vema kuchunguza mizizi yake na kama huwezi kujikwamua, tafuta msaada wa kiroho kwa kakobe au kwa mzee wa upako; MAOMBI.
  12. Red pepper

    Weusi hawa wameweza vipi - Kabila tajiri kupita yote Afrika!

    Wanaishi kama familia kwa upendo. Keki ya taifa lao wanaimega sawa kwa sawa. TUTAFIKAA???????
  13. Red pepper

    Suala la kuwa na imani tofauti linapotatiza taasisi ya ndoa

    Pdidy alichosema ni kweli hasa. Mlokole hawezi kumwoa mwislamu! nk. Ndoa ni ushirika. Mnakua mwili mmoja...Maana yake mnafanana kila kitu, kuanzia mnavyoabudu nk. Kuweni makini jamani kwani wasichana wapo wengi saaana. Kama ni mkristo utapata kanisani nk. Huo ndio ukweli hasa. Mungu akubariki Pd.
  14. Red pepper

    Rooney, JT and Joe Kole celebtares with their kids

    Wachezaji wetu waige hio staili!!, au hawataki kuonekana!
  15. Red pepper

    Natafuta registered tution provider acca hapa tz.

    Sikiliza, Kuna Financial Training Centre ambao wapo Osman Towers Ghorofa ya kwanza. Ni wazuri maanake vijana hufaulu vizuri. Hapo ni zanaki street oposite na elia complex karibu na CBE(Chuo cha biashara). Kama hela sio tatizo, karibu!
  16. Red pepper

    mtoto wa nyoka ni snake....

    Ni kweli !!!!!!!!!!Thumbs up :A S thumbs_up:
  17. Red pepper

    Hodi hodi humu

    AK-47 unatisha kwanza. Hio silaha duh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Nimekaribia ila usinitungue!!
  18. Red pepper

    Hodi hodi humu

    Hapana, yalikuwa mawazo yangu, aulizae sio mjinga, Mjinga ni anayejifanya anajua kumbe hajui. Sio kwa macho mbali mawazo yenu yanaonekana yanapendeza kwa thread zenu. Nashukuru na Mungu akubariki!
  19. Red pepper

    Hodi hodi humu

    Ahsante PJ, Lazima nifanye mojawapo hata vocha
Back
Top Bottom