Search results

  1. Tanzanite1

    Nampenda Lakini...??

    asee hii kali lakini inawezekana uyo baba alipigwa kibuti na uyo binti sasa anataka amkoseshe bahati ila chukua tahadhari 'llinda kiuno' usinaniliu naye kamuulize kwanza ukweli wa mambo nashangaa lakini inakuaje hamna mtu ata mmoja mji huo anaoishi binti aliye wahi kukutonya ilo make friends na...
  2. Tanzanite1

    Please do the nidful

    Kimey yupo kwangu ngoja nimwambie anatafutwa
  3. Tanzanite1

    How to convince your man to get circumcised

    :dance: topic imenikumbusha mbali, siku moja nilikua na wazungu wakasema wanaume wao hawatairiwi mie nikawa SHOCKED wakasema haina umuhimu na ni kutesa watoto ambapo unavunja haki ya binadamu mie nikabaki :jaw: anyway mawazo yangu nafikiri kwanza mulize yeye mwenyewe kwanini bado lipo, ni mila...
  4. Tanzanite1

    ushajaribu?

    mweeh!!
  5. Tanzanite1

    Pete ya uchumba

    Inawezekana maana yake imeanza kupotea lakini bado ina umuhimu wake, kwa wanao heshimu ni alama ya upendo mkuu na kwa wasio heshimu atleast wanajua kwamba wanaiba vya watu so wanakua waangalifu
  6. Tanzanite1

    Matumizi ya simu katika Mahusiano

    Wandugu yalinikuta, mtu alisema kishaachana na mtu aliekua naye afu wiki chache baadae ananitumia msg mie ya kumwambia huyo x kwamba amechoka waachane,,mie :confused2: ,,afu akatuma msg ati hiyo sio msg yako...hahaaa watu jamani mmh...nikashukuru mungu nikamrudishia hiyo msg yake afu nikamwambia...
  7. Tanzanite1

    Naombeni ushauri jamani

    duh boyfriend hakutafuti mwezi mzima!! naomba huyo jamaa aachwe dakika hii tena asijisumbue ata kumjulisha yani ata sh. 40 ya msg asipoteze kutumia msg kumjulisha lo:mad2:h inaudhi sana
  8. Tanzanite1

    Mwalimu na mwanafunzi wabambwa!!!

    Jamani msiwaseme sana wanafunzi wa kike, dada yangu alifundisha shule ya wavulana nayeye alipata shida sana afu na kamwili kake kadogo basi ile mijanafunzi mikubwa ilikua inamuonea sana, siku akichelewa kutoka shule inabidi aombe escort kwa kwa walinzi au walimu wa kiume.,,nafikiri japo yote...
  9. Tanzanite1

    Kina kaka mnawazaga nini kabla ya 'kumtokea' mdada

    Naomba niwaulize kaka zetu huwa mnafikiria nini au mnajipangaje kwenda 'kumtokea' demu.. kwasababu inafurahisha sana wakati mwingine mtu anakwambia kitu kama 'sista nimekumind naona unalipa sijui unafaa kuwa demu wagu'...:lol: dooh kweli nikicheka nakuwa nimekosea Kina dada please share...
  10. Tanzanite1

    U-best mwingine?!

    :confused2: ngumu iyo
  11. Tanzanite1

    Home sweet home -- bongo wera weraaaaaaaaaaaaa.

    hapo sasa ndio penyewe...
  12. Tanzanite1

    Mchumba 'angu amemegwa halafu ka confess

    two wrongs do not make a right hata siku moja,,kama ukiwaza na kuwazaua unaona hauwezi kumwamini tena anza mapema usipoteze muda zaidi
  13. Tanzanite1

    Jirani abambwa na mkewe akilawitiwa

    sasa si angewakamata kimya kimya, kelele izo ndo ishakua aibu mtaa mzima na kwa familia nzima!!
  14. Tanzanite1

    Hizi bra za kisasa za wasichana

    :rofl: ngoja na mie nikatafute kumbe zinatega ukweli ukweli.....
  15. Tanzanite1

    kilio cha mtu mzima

    kwaaa kwaaaa kwaaa eeh kilio orijino
  16. Tanzanite1

    Ladies only - Win a date with Ngabu

    hehee ati GPA si chini ya 3.0 hahahaa,, haya utaje na weye sifa zako na weye na GPA yako usisahau
  17. Tanzanite1

    Dada yangu na boss wake

    Kama kweli alikua hajui yataishia ivi na hajamkubali, aende kwa mumewe aseme ukweli, washauriane na mume wake kifuatacho ni nini,,ASAP:A S clock:
  18. Tanzanite1

    I Am Sooooo Jealous

    haapana...raha ni mwanaume adondokee yan achanganyikiwe kabsaa
  19. Tanzanite1

    Mke anashinda Kanisani !!

    Mtafute uyo mchungaji kwanza umuwashe mangumi kidogo,,. mafunzo gani hayo anatoa
  20. Tanzanite1

    Habari

    Salama ndugu,,,napenda kujiunga kwenye jamvi tubadilishane mawazo
Back
Top Bottom