Search results

  1. ismail mziwanda

    information technology ni science au arts

    wakuu nisaidien nimepangwa BIT ya NIT sas nashindwa kuelewa ni science au sanaa
  2. ismail mziwanda

    Sehemu rahisi ya kupata taarifa kwa wanafunz wa chuo kikuuu cha usafirishaji NIT

    Follow this link to join my WhatsApp group: https://chat.whatsapp.com/1otnkEMS4opL2AAvHEacCN
  3. ismail mziwanda

    Sehemu rahisi ya kupata taarifa kwa waliochaguliwa NIT

    jiunge na whatsapp group kwa hii linkhttps://chat.whatsapp.com/CgTkH3TUAJr9KeByHlP5Yp
  4. ismail mziwanda

    Waliosoma bachelor of information technology nielekezeni inahusika na nini

    Waliosoma bachelor of information technology Naomba msaada maana nimechaguliwa NIT kwa kozi hiyo Tatizo sijui inadili na nini pia soko la ajira kwa hiyo kozi maana najifikiria kubadil kozi
  5. ismail mziwanda

    Ni kweli Wahehe wanakula nyama ya mbwa?

    Wakuu jana nlikaa na mzee wa Kihehe, nikamuuliza kuhusu wao kuhusishwa na kula securiter a.k.a wuuwuu ze dog na alichonojibu ni hiki hapa Basi hapa Wajerumani wakajua amekul ugali na dogi yaan mbwa ze wuuuuuwuuuu, uvumi ukaanza vuma hapo" hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa nam leo mzaramo ila nakula...
  6. ismail mziwanda

    Mambo usiyoyajua kuhusu Nyumbu

    Umbile la Nyumbu (Wild Beast). Nyumbu ana maumbile ya wanyama kadhaa; 1. Miguu ya nyuma na kiuno ni umbile la Fisi; 2. Mkia ni umbile la Farasi 3. Michirizi ya Pundamilia 4. Pembe ni za Nyati 5. Ndevu ni za Pofu 6. Nywele za mgongoni ni za Pundamilia. 7. Nyumbu kwa jina lingine anaitwa "Zero...
  7. ismail mziwanda

    Yawezekana ukampenda na hata kumuoa mpenzi wa zamani rafiki yako

    Wakubwa naomba ushauri,kuhusu rafiki yangu mmoja tulisoma wote o level, kipndi kile alikuwa na mpenzi wake na walipendana sana yaani, na yeye ndiye aliyemtoa bikra ila baada ya muda wakaachana na ni muda sasa. Kwa muda huu yule msichana anaonesha kunipenda kwa asilimia mia, nami nampenda ila...
  8. ismail mziwanda

    Kuanzia leo surprise ni marufuku

    Nasema hviii ctak kusikia k2 knachoitwa sapraizi tena ctak heti nsikie kam2 kanasema "ooh bebi nataka nkusapraiz" ctak tena ctakii,unajua kwa nn,kun mwanariaza mmoja wa sauz kwa mandela alikua na kamanz kake akakaua bila ya kukusudia kwa bunduk,tena cku ya valentine kwa kuzan n m2 kaja...
  9. ismail mziwanda

    Kwa wanaohitimu kidato cha sita ualimu na udaktari jeshi ni miezi sita badala ya mitatu

    jaman nimepata habar kwa walohitimu jkt mwaka huu wanasema kua kwa miaka ijayo watakao enda jesh kwa mujbu wa sheria watakaa kwa miez sita badal ya mitatu,kam n kwel jaman kun faida gan kwa serikal kufany hvyo
Back
Top Bottom