Search results

  1. dreamchaser18

    Window mbadala wa XP?

    Habari wakuu naomba kuuliza window gani itafaa kwenye PC yenye RAM 1GB mbali na XP? na inawezekana kudownload window from net?
  2. dreamchaser18

    Msaada Network unlock

    Natumia Vodafone nataka nitoe network lock msaada jinsi ya kupata pin code for free
  3. dreamchaser18

    Network unlock

    Natumia Vodafone v685 nataka nitoe network lock msaada jinsi ya kupata pin code for free
  4. dreamchaser18

    Tatizo la maandishi kutikisika kwenye Nokia lumia 520

    Habari wakuu. Nokia lumia 520 maandishi yanachezacheza (flickering) hadi hayasomeki. Hard na soft reset zimeshndwa. chief mkwawa
  5. dreamchaser18

    Lumia software updates

    habari zenu wakuu... msaada jinsi ya ku-update software kwenye Lumia 620 nmetumiwa text ni-update inataka n2mie WiFi ivi hauwezi kutumia data connection? na iyo update ina ukubwa gani?
  6. dreamchaser18

    msaada: office kwenye window 8

    msaada wakuu nilikuwa natumia window 7 lakini baada ya kupiga window 8 nashindwa kuinstall word
  7. dreamchaser18

    msaada: bluestacks na nsu

    msaada jinsi ya kuinstall bluestack na nokia software update kwny pc ya window 8 coz nkzdownload hazifiki mwsho
  8. dreamchaser18

    msaada lumia 520

    msaada watalamu lumia 520 haionyeshi kitu kwenye screen ila inawaka nikipa inaita nimejaribu kureset both hard reset na soft reset imegoma msaada kwa watalamu
Back
Top Bottom