Search results

  1. Ntahandinkimuhila

    Mwaka mmoja wa kusoma Kichina unaweza kunisaidia nikakijua na kuendelea masomo yangu?

    Ahaaah shukrani kwa majibu ndugu. Lugha gani sasa ya kigeni yenye fursa zaidi ?
  2. Ntahandinkimuhila

    Mwaka mmoja wa kusoma Kichina unaweza kunisaidia nikakijua na kuendelea masomo yangu?

    Mkuu naomba uniambie faida (hususa ni fursa) za kujifunza lugha za kigeni mfano kichina, kijerumani na kihispaniola.
  3. Ntahandinkimuhila

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Mwaga lonja zaidi kamanda, wanataka fani gani watachukua kitaa au kambini ? Umri ukoje n.k
  4. Ntahandinkimuhila

    JWTZ mnatangaza ajira zenu lini?

    Mimi pia nahitaji kufahamu.
  5. Ntahandinkimuhila

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kuna ugumu flani ndugu si umeona wana walivyoandika huko juu ?
  6. Ntahandinkimuhila

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Ni kweli, Uwezekano wa kuharibu nauli ni mkubwa.
  7. Ntahandinkimuhila

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Mungu awasaidie mzipate hizo nafasi
  8. Ntahandinkimuhila

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Huwa Ni burudani sana
  9. Ntahandinkimuhila

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Ahaaah nilitaka kufanya QT ili nibadilishe majina, nikarudie kidato cha nne maana hii digri ya physics (bsc in physics) haijaniwezesha kujiunga na kuwa askari JW. Ili badae nisake gamba jipya la kuzaliwa nishushe umri kisawasawa kwa kadri ya hawa wanangu wa "Juliet Whiskey Tango Zulu"...
  10. Ntahandinkimuhila

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Ila kwa sasa Teknolojia iko juu sana mtu anaweza pata tabu.
  11. Ntahandinkimuhila

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kudadadek ! shoo kali sana aiseeeh kwa hiyo hakuna kufurukuta babaaaah
  12. Ntahandinkimuhila

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Changamoto inakuja hapo sasa. Ni vigumu kweli.
  13. Ntahandinkimuhila

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Morali ipo ya kutosha imejaa mpaka inamwagikia lakini nafasi hupewi anapewa mhuni ambaye yani jeshi siyo hobi yake kiufupi mwana kule anafuata mshahara tuu kwa sababu Inakuwa hana namna nyingine ya kufanya yani ajira imeshindikana kupatikana kitaa ndiyo sasa akipata nafasi kule anaona bora...
  14. Ntahandinkimuhila

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Mkuu mbona umenyoosha mikono na kushangaa ?
  15. Ntahandinkimuhila

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Ikitokea naenda tuu, maana hakuna namna. Ili mradi niwe nalinda usiku, kupiga kwata kwa unaa mkubwa, kombati ya jeshi niwe naitupia kwa mwili ile imenyooshwa kwa pasi mpaka nzi anakatika akijichanganya ! Buti inang'ara kama kioo ....kidevu kiwe kipara kichwani kuwe na upara, kila siku mabio...
  16. Ntahandinkimuhila

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Nipo Dar kwa sasa NIda ipo mda sana tangu 2017 mkuu, nilitaka kujua kama hawaulizi ķwenye usaili ili nijipige kifua nikajaribu tena bahati JKT. Au kama inawezekana nijisajiri upya nibadilishe mwaka wa kuzaliwa na jina kabisa. Ili wakiihitaji jeshini nisipate taabu maana hii iliyopo umri wake ni...
  17. Ntahandinkimuhila

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Sawa. Mwenyezi Mungu ninamuomba sana, sichoki. Japo hajanifungulia baraka nikawa Jeshini. Sema kusali na kutubu dhambi muhimu maana mtu hajui anakufa lini, isije ikawa taabu katika maisha mengine yanayofuatia baada ya hapo.
Back
Top Bottom