Search results

  1. G

    Tujifunze kidogo kuhusu ndege (airplane)

    Jibu mujarabu kabisa, asante Mkubwa.
  2. G

    Tujifunze kidogo kuhusu ndege (airplane)

    Lingine za ziada, ukitazama ramani kwa haraka haraka, common sense inakuonyesha kuwa ili uende Bara la Marekani mfano kutokea DUbai, ni heri ungechanja mbuga, upasue Afrika (Misri, Sudan, Jangwa la Sahara nk) kisha uingie zako baharini mpaka unafika kwa wakubwa huko. Swali, kwanini mfano kutokea...
  3. G

    Tujifunze kidogo kuhusu ndege (airplane)

    Swali langu ni fupi; ni nini tofauti ya Pilot, Captain, First Officer na wale Cabin Crews? La pili, kwanini ndege kubwa kama A380 wakati wa kupanda na kushuka ziko comfortable zaidi kuliko ATR za Precision?
  4. G

    Original Transcend External Hdd for sale ikiwa na movie ZAIDI YA MIA MOJA

    Kama ina movies kama ulivyosema niko tayari kununua kwa bei hiyo ya laki moja
  5. G

    Zitto awasilisha hoja binafsi juu ya walioficha fedha Uswiss

    Duh kaka, Kwa hiyo kwa maelezo yako hawa viongozi wanaotuhumiwa wasiguswe? Kumbe ukiwa kiongozi unakuwa mfanya biashara automatically. Mimi ninachoona hapa ni kwamba tatizo sio kuweka hela nje, Bakhresa akaweke tu maana mfanyabiashara anajulikana. Sasa hao mawaziri, makatibu wakuu na viongozi...
  6. G

    Nna wasiwasi na huduma hizi (M-pesa, Zpesa, tiGO pesa & ZaP) 'mobile banking'.

    Duh! Caroline, ndio umefunga mjadala? Hivi kweli huduma zao ni mbovu kiasi hicho? Mi nashukuru tangu zimekuwepo walau faida kubwa niliyopata ni kuepuka kupanga "foleni" masaa mawili mpaka matatu pale NBC Corporate Branch, just kutuma laki moja tu mkoani. Hizi huduma zinaweza kuwa na matatizo...
  7. G

    Nna wasiwasi na huduma hizi (M-pesa, Zpesa, tiGO pesa & ZaP) 'mobile banking'.

    The moment zikifanywa deposits maana yake M Pesa, ZAP na Tigo Pesa wanakuwa mabenki, maana ni mabenki tu ndiyo yanaruhusiwa (kisheria) kuwa deposit taking institutions.
  8. G

    Nna wasiwasi na huduma hizi (M-pesa, Zpesa, tiGO pesa & ZaP) 'mobile banking'.

    Kuna mambo mawili hapa, hii mifumo inatumia technology, transactions zote zinazofanyika ziko traceable (kuna audit trail). Sasa kampuni (kama vodacom mathalan) ikifilisika rekodi zake kuhusu fedha zilivyokuwa zinazunguka ndani ya system ziko kwenye system. Pia hizi zinakuwa mirrored kwenye...
  9. G

    Nna wasiwasi na huduma hizi (M-pesa, Zpesa, tiGO pesa & ZaP) 'mobile banking'.

    Heshima yako mkuu, hizi tier ziko kulingana na mtumiaji. Kwa watu binafsi mimi na wewe ama ni shs laki tano ama million moja, kwa kitaalamu wanaita hizi ni P2P transactions (person to person). Kwa makampuni (au biashara) hizi ndio zinakuwa na limit kubwa, mfano malipo ya B2C (Business to...
  10. G

    Nna wasiwasi na huduma hizi (M-pesa, Zpesa, tiGO pesa & ZaP) 'mobile banking'.

    Kama nimekuelewa vema, unachouliza ni iwapo unaweza kuwa na kiwango cha fedha hii kwenye huduma zote (M Pesa, Tigo Pesa na ZAP) kwa maana kuwa badala ya kuwa na limit ya TZS 1 Million ukajikuta umeweka 3 Million (kila service 1 Million), hii nafikiri inawezekana maana nijuavyo hii mitandao...
  11. G

    Nna wasiwasi na huduma hizi (M-pesa, Zpesa, tiGO pesa & ZaP) 'mobile banking'.

    Hapa shida kubwa inayokuweko ni kuwa, waTanzania wangapi tuna utaratibu wa kuarifu ndugu zetu wa karibu kuwa kwa sasa nina TZS 1 Million kwenye M Pesa (kwa mfano). KIbaya zaidi, hata kwamba unakufa lini pia unakuta hujui. Ninachooona hapa ni kuwa ukifa (mara nyingi TZ na Afrika vifo vingi...
  12. G

    Nna wasiwasi na huduma hizi (M-pesa, Zpesa, tiGO pesa & ZaP) 'mobile banking'.

    Mkubwa Avatar, Kuhusu limits ni ukweli zipo, mwanzoni uliweza kufanya transaction/transfer ya mpaka TZS 500,000 kwa siku, ukizidisha system inagoma (tunaambiwa hilo ni agizo la BOT kwa hao jamaa wote, sio M Pesa tu, hata ZAP na wengine). Kwa sasa limit imeongezwa mpaka TZS 1 Million, zaidi ya...
  13. G

    Nna wasiwasi na huduma hizi (M-pesa, Zpesa, tiGO pesa & ZaP) 'mobile banking'.

    Mjadala mzuri sana, pamoja na mawazo mazuri ya wachangiaji, nafikiri ni vema tujikumbushe namna mfumo huu unafanya kazi, hii huenda ikasaidia kujibu maswali mawili matatu. Nijuavyo mimi: 1. Hizi huduma zimemlenga mteja mdogo mdogo (nasikia maximum limit ni kama sio laki tano, then miliion moja)...
  14. G

    Kwa nini Mwanza/Kanda ya Ziwa kusiwe na Kituo Cha kukusanya Maoni?

    Umenena kibusara zaidi, nafikiri tunahitaji uwakilishi wa maoni ya Watanzania wengine (wala haitakuwa na maana ya ukabila kama mwenzetu mmoja anavyofikiri). Katiba ni ya wananchi, waachwe wajimwage na maoni yao kadri wanavyoweza
  15. G

    Nyerere: The Man, The Myth and the Legend

    Unaonyesha dhahiri umetumwa. Nyerere ndie aliesababisha madudu kama haya ya Dowans? Mmetoa ahadi kede kede zisizotekelezeka, sasa mnamtafuta mchawi. Wacha kutupotezea, tunataka suluhisho la matatizo yaliyopo sasa, umeme, elimu kushuka viwangob uchumi mbovu n.k. Mtaendelea kulia Nyerere kaleta...
  16. G

    Wenye Viwanda Wataka Mitambo ya Dowans Iwashwe

    Nimesikiliza pia upupu huo. Kuna mchezo mchafu hapa unaendelea, kiharufu chake kwa mbali nakisikia
  17. G

    Nikweli YUSUPH MAKAMBA anahitaji Kupumzika siasa??

    Mwaka 2012, Katibu Mkuu aendelee Makamba, Katibu Mwenezi, Tambwe Hiza, ahahahaa
  18. G

    Kikwete ni Masiha

    Kwa mtazamo wangu (au tafsiri) yangu, ningesema kwamba yeye ni "agent" wa kubadilisha fikra za Wazalendo wa nchi hii. Mathalan, ujasiri wa Wazalendo tuliouona kule Arusha usingewezekana kama uongozi ungekuwa bora na uliotukuka. Ni nchi mpya inazaliwa, kizazi kipya cha Watanzania wanaoweza...
  19. G

    Imani yetu kwa serikali ya Kikwete

    Visingizio, yeye kipofu lazima azidiwe kete kila mara? Wacha janja yako hapa
  20. G

    Akuku Danger....alizikwa baada ya miezi miwili.....

    Huyu mzee aliishi katika nyakati zake, nyakati tulizonazo pia ni tofauti, mwacheni akapumzike (if at all kuna kupumzika huko), ni sehemu ya historia
Back
Top Bottom