Search results

  1. W

    Ushauri kwa wale wenye matatizo ya kutopata chuo batch zote

    Nicheck pm au kwa namba hii 0742815465 tushauriane kwa Yale yanayowezekana saidiana
  2. W

    Kuhama chuo kwa mtu anayeingia mwaka wa pili ngazi ya shahada inawezekana?

    Wadau kwa wanaofahamu taratibu za mtu kuweza kuhama chuo anijuze
  3. W

    waliokosea baadhi ya vitu kwenye fomu za mkopo 2014/2015

    wadau wale walioomba mikopo heslb, majina ya watu waliokosea baadhi ya vitu yametoka na mwisho wa marekebisho ni tarehe 10 mwezi wa tisa tembelea website ya heslb kuangalia jina lako kama lipo na baadhi ya vitu hivyo ni kama:- kutosaini mdhamini. mwombaji kutosaini. kusahau kuambatanisha vyeti...
  4. W

    Ushauri kwa mtu aliyepata F ya General studies anaweza kupata nafasi ya chuo

    wana JF msaada wa ushauri kwa mtu aliyefanya mtihani mwaka 2012 na matokeo yake yakawa hivi geography D, History D, kiswahili E na GS kapata F anaweza chaguliwa kujiunga na Elimu ya chuo kikuu ?.
  5. W

    Bodi ya mikopo na watumishi serikalini

    Wadau napenda kuuliza bodi ya mikopo inatoa mikopo kwa watumishi wanaojiendeleza na elimu ya chuo kikuu?
  6. W

    ushauri wa matokeo yangu ya kidato cha sita.

    samahani wanajukwaa naomba ushauri, nlifanya mtihani wa kidato cha sita kama private candidate combination ya HGK mwaka jana matokeo ya ngu nlikuwa nna III ya point 13 ingawa GS nlipata F naombeni ushauri ninaweza kupata chuo endapo ntafanya selection au itanlazimu kufanya mtihani pia wa GS...
Back
Top Bottom