Search results

  1. michael western

    Msaada tutani wakuu

    Naomba kwa aliyewahi kutuma documents Kama vyeti akiwa nje na kutuma tz je unayemtumia anavipokeaje maana nyumba za TZ hazina address,naomba Kama kuna aliyewahi kutuma documents kwa njia ya dhl Tanzania anielekeze aliyepokea alipokelea kivipi?
  2. michael western

    Wenye hela wengi wanaangukiaga kwa malaya

    Wenye hela wengi wanaangukia kwa malaya maana malaya ndio wanaotafuta wenye pesa.Si unajua mwanamke anavyotega baadaye unajikuta umeoa malaya bila kujua.
  3. michael western

    Bongo Movie inaonekana hawajui Kiswahili

    Yaani kuandaa movie ni process ndefu, ila unakuta mpaka majina ya movie ya hovyo, mi nikiona jina la movie au wimbo siyo kiswahili sanifu sina hamu tena kuangalia najua tu walioandaa ni vilaza. Kuna movie inaitwa "Milembe" ila maudhui ni Mirembe. Kuna moja "Chizi karogwa tena". Nadhani...
  4. michael western

    Tatizo la soka la bongo ni nini?

    Si vilabu wala timu ya taifa,kila viongozi wanaokuja hamna mabadiliko,tunatamani tufike mbali kimataifa ila tunaishia hatua za awali. Viongozi wana visingizo kila siku bila bla bla. to hell! Tatizo ni nini wakuu? Viongozi wa TFF? Makocha? Wachezaji hawana ujuzi na afya mbovu? Hela? Kwanini sisi...
  5. michael western

    Ligi ya Uhispania yaahirishwa

    Ligi kuu ya Uhispania La Liga imepigwa marufuku. Hatua hii inafuatia mtafaruku baina ya shirikisho la ligi kuu la Uhispania na serikali ya taifa kuhusiana na ugavi wa mapato ya haki miliki ya kupeperusha mechi. Pande zote zimeshindwa kukubaliana kuhusu ugavi wa mapato ya matangazo ya mechi za...
  6. michael western

    Jimbo la Muhambwe kijana anayejinadi mgombea wa CCM.

    WanaMuhambwe jihadharini sana na huyu kijana,huyu kijana ni mwenye njaa na mtafuta fursa tu,naona ameanza kampeni yake tangu mwaka jana amalize chuo huko Russia na kurudi bongo,huyu kijana alishawahi kijipambanua ni mwana ukawa ila sasa amekuja kwa sura nyingine akijifanya mzalendo...
  7. michael western

    Huyu jamaa alishindwa uchaguzi sababu mojawapo grammar zake

    Wananchi walikuwa hawamwelewi
  8. michael western

    Warembo wa JF avatar zipi za wamaume huwa inawavutia?

    Mi huwa nikiona baadhi ya ya avatar za warembo kila napocomment naona kama ndo wao halisi na urembo wao,Je warembo humu avatar zipi zimewavutia bila kuwajua hata wahusika.
  9. michael western

    Nimefedheheka sana

    Nimechezewa kiakili na feelings za mapenzi. Miezi mitatu iliyopita nilitongoza id moja maarufu ya kike humu MMU na CHITCHAT,kila mtu akaonyesha interests zake kwa mwenzake,sifa alizonitajia nilizipenda. 1.Mnyenyekevu. 2.mvumilivu 3.mwenye heshima 4.mwenye future nzuri 5.kamaliza chuo...
  10. michael western

    Say my name !

  11. michael western

    Asilimia kubwa ya mabinti wa MMU wana midomo michafu.

    Wanawake walioolewa humu wanaonekana wastaarabu,ila hivi vibinti vya humu MMU wengi wao wana midomo michafu wanaandika matusi fasta zaidi ya Eminem anayerap!. Halafu ukifuatilia threads zao humu wengi walitendwa,heri hata mliachwa,hao wanaume waliona mbali watu wenye mitusi hivi nyuma ya...
  12. michael western

    Kati ya JWTZ na JKT, jeshi lipi bora zaidi?

    Haya majeshi makubwa nchini Tanzania ni jeshi lipi linamzidi mwenzake kiujuzi,mazoezi,kuwa na wasomi wengi,mishahara,na mengineyo! Je vyeo vyao vinafanana? Je kwa maswala ya mafunzo wanaingiliana kama wataalam wa JWTZ kufundisha kwenye JKT na wa JKT kufundisha JWTZ? Ni jeshi gani hapo lina...
  13. michael western

    Lucky Dube ana mziki mzuri kuliko Bob Marley.

    Ukisikiliza mziki wa Lucky Dube vizuri utagundua kamshinda Bob Marley kwa vitu vingi,sauti,beats,ingawa kiujumbe wanafanana,ila mziki wa Lucky Dube unavutia zaidi ukisikiliza. Nadhani Bob Marley alipata umaarufu zaidi baada ya kufa,angekuwa hai angefunikwa sana na Luck Dube.
Back
Top Bottom