Search results

  1. J

    Why I Love Kikwete - I really Do... The Most Consistent President!

    rais safi sana huyu mchapa kazi mnoooooooo...mlishwahi sikia raisi anachoka hadi anazirai majukwaani?? anachapa kazi kuelewa matatizo ya watanzania... poor him he don't have the needed handful of normal brain!! Tarehe saba KAKA atashukia home kwake kabisa au? Anaweza ata akavaa jezi ya brazil...
  2. J

    CCJ kuanza Charm offensive! - Ask your questions!

    mzee mm i wish you all the best. Katika CCJ lipi mnaliona ni tatizo kubwa kati ya ujinga, maradhi, umaskini na ufisadi? Nimekuwa nikichukulia ujinga kama ni kubwa by far. What do you or CCJ perceive? How do you plan to tackle the problem and what are the expected levels of achievement? cheers
  3. J

    Wenye akili zaidi hulenga ajira

    WanaJF, Je Tanzania ikipunguza matatizo ya rushwa mambo yatanyooka? Naona kuna tatizo flani sugu. Tamaduni yetu ya watu wenye akili kulenga kwenda university na hatimaye mara nyingi kutafuta ajira ya mshahara sio mojawapo ya vikwazo vya Tanzania kuendelea? Mafundi seremala, mafundi wa viwanda...
  4. J

    Mhadhiri Bakari Mohammed wa Mzumbe University amjibu JK kisayansi!

    Hao watu wanaopinga hesabu za jamaa wa mzumbe wana tatizo flani kichwani....Hatari sana kama hujui kuwa hujui!!
  5. J

    Kambayuwayu ka Kikwete kalikotaka kuwa tetere!

    hii imekaa vizuri sana mkuu. mbayuwayu wamemtikisa sana mkwere so far. nina imani mbayuwayu hawatatulia, tena walivo wepesi! wanajipanga tu watamsumbua mkwere hadi atajuuuuuuuuuuuuuuta kuwaongoza mbayuwayu!!
  6. J

    Mgomo wa wafanyakazi wasitishwa kwa muda

    kwa namna yoyote ile hata kama tucta hawatarudisha mgomo mi nadhani hakuna kurudi nyuma...at least it was something. Utawala wa kikwete umetaabika kwa namna moja au nyingine, kuja kutoa hotuba ya namna ile ni desperations!! Watanzania waoga sawa lakini woga ndo unaisha kidogokidogo hivo. Kuenzi...
  7. J

    Mgomo wa wafanyakazi wasitishwa kwa muda

    maprofesa wameonyesha woga wa hali ya juu...walirudi kazini kirahisi mno. walitishwa kuwa mgomo ni batili na kuwa maswala yao yatashughulikiwa wakati wa bajeti. mabadiliko kwa tanzania ni magumu mno. kama wasomi ni cowards je hao kima cha chini? nimeongea na baadhi yao wenyewe wanadai kweli...
  8. J

    Tanzania hatuhitaji demokrasia

    Mtweve nakuunga mkono. Demokrasia penye rushwa haswa kama ya bongo ni utapeli. Ukipiga kura inaweza ikaibiwa. CCM wanawatishiaga wananchi kuwa wasipoichagua watawatrack kwenye fomu walizopigia kura na kuwashughulikia ipasavyo (nimeshashuhudia hii live). Huwa wanawahonga na kuwalaghai watu...
  9. J

    Bango la Wafanyakazi - Wafanyakazi Tanzania tuungane! Mei 5th

    The actual figure kama wafanyakazi alodai ni laki tatu itakuwa 315,000 x 300,000 x 12(mwaka wa bajeti) = 1,134,000,000,000. Hii ni sawa na trilioni 1.1 yeye aliizidisha mara sita ili iweje...au bajtiu inakuwaga ya miaka sita?? Pesa ambazo anataka kuzitumia yeye kwa tukio la siku moja (uchaguzi)...
  10. J

    Dk. Slaa: Sigombei urais

    akigombea urais hapati kwa sasa hivi mkuu....bora awe mbunge tu
  11. J

    Kampuni ya Peter Noni wa EPA ndiyo inakusanya michango ya CCM?

    yani kama yalomkuta mkuu wa poland au?? hahahaaa
  12. J

    Mtanzania wa kawaida.....

    wana maana kuna watanzania wa kawaida na wasio wa kawaida...simpo!
  13. J

    Msaada: Nahisi mtoto wangu ameathirika na Runinga

    this comedian is talking about beating kids on youtube
  14. J

    Kina barrick wapinga sheria mpya ya madini!

    ni jambo zuri waziri amefanya kudefend uamuzi wa serikali. BUT na tena BUT kubwa sana, hiyo asilimia 4 ndo watu wamehangaika siku zote hizo kuwa wanabadilisha mikataba kwa manufaa ya mzawa? mimi sijaona huo mkataba, plz kama kuna mwenye access aturushie, au pia kama kuna ambaye anaweza...
  15. J

    In Praise of Tanzanian Capitalism - The People should be Glad!

    nitoe mtizamo wangu japo mimi sio mchumi. takwimu zinaweza kuelezewa vyovyote vile inategemea tu mtu anataka kusema nini. Kipimo cha ukweli wa hizo takwimu ni hali halisi ya eneo husika. kama wanadai kuna maendeleo katika huo uchumi mbona maisha yanazidi kuwa mabaya kila kukicha...huo ukuaji...
  16. J

    The two sides of Tanzania’s president

    truce ndo nini? analyse sasa ambacho so upupu utaje alichofanya au akili yako kama yake tu!!
  17. J

    Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?

    hiyo kweli malaria sugu tena inayotibiwa tibiwa na dawa feki za kichina kisha kujirudiarudia...kampigie tu kura acha hasira!!
  18. J

    Elections 2010 Kura yangu ni "NO" kwa Rita Mlaki...Uchaguzi October 2010 Jimbo la Kawe

    mpigeni chini tu asilete mambo ya kujinufaisha peke yake at the expense huduma kwa jamii
  19. J

    Mgomo UDSM wafanyakweli

    Hongera UDSM, vipi wengine I hope na wao wameunga mkono. Serikali imezidi siasa bila matendo!!
Back
Top Bottom