Wenye akili zaidi hulenga ajira

jingoist

Member
Mar 24, 2010
39
0
WanaJF,
Je Tanzania ikipunguza matatizo ya rushwa mambo yatanyooka? Naona kuna tatizo flani sugu. Tamaduni yetu ya watu wenye akili kulenga kwenda university na hatimaye mara nyingi kutafuta ajira ya mshahara sio mojawapo ya vikwazo vya Tanzania kuendelea? Mafundi seremala, mafundi wa viwanda vingine, wafanyabiashara na kadhalika ni ile cream ya ambao hawakuperform mashuleni (traditionally tumekuwa tukiitwa tusiokuwa na akili). Creativity na ushindani vitatoka wapi kama kila aliye ambitious na bright analenga mshahara? Sisi kama wazazi watoto wetu wakiwa wanafaulu na wanaonyesha direction ya Univ. tunajiskia raha sana, nani ataweka ushindani katika ubunifu hatimaye aajiri watu. Nchi zilizoendelea uchumi wao haukujengwa wala haushikiliwi na wasomi. Nafikiria kwa sauti kidogo tu...what is your opinion?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom