Search results

  1. TODAYS

    Tukio la Kikatili Lililowakuta Wanajeshi wa Kirusi Waliokuwa Wakisafisha Uwanja wa Vita

    Nadhani atakuwa anatoa ushuhuda daily huko kwenye ibada au familia yake!.
  2. TODAYS

    Nimechukizwa sana kuona Majeshi yetu yanaonesha umahiri wao kwa kubeba kilo 70 za mizigo

    Sasa 'kamanda' kama unajua kwa nini uruhusu upotoshwaji na vitendawili kuhusu kubebwa mawe kwenye macho ya dunia?
  3. TODAYS

    Huyu Mwanajeshi aliekuwa akihutubia leo si ndio yule muuza madafu wa Ikulu, au?

    Siyo yeye ni wamefanana kwa mbali, angalia macho yana distance tofauti kutoka pua to jicho.
  4. TODAYS

    Prof. Janabi na Upepo wa Kisiasa

    Toka baada ya mzee baba jeshi la mtu mmoja huyu dokta hajui aongee nini!. Anazidi kupungua mwili na uzito nadhani ana stress vile hawezi kusema!.
  5. TODAYS

    Tukio la Kikatili Lililowakuta Wanajeshi wa Kirusi Waliokuwa Wakisafisha Uwanja wa Vita

    Walidhani ni madini kwa jinsi yalivyoonekana kwa nje kumbe ulikuwa no mtego. Never trust anything on walking around.
  6. TODAYS

    Nimechukizwa sana kuona Majeshi yetu yanaonesha umahiri wao kwa kubeba kilo 70 za mizigo

    Binafsi huwa sielewi hii sinema ya kubega mizigo mizito ina maana gani. Kwamba huyo jamaa akiwa anaenda front line kuokoa au kuteka anaondoka kambini, nyumbani akiwa hivyo au ni kututisha raia huku mtaani?.
  7. TODAYS

    Inaonekana Sheria za Fizikia hazitumiki kwa mbuzi!

    Mr Q hii nayo ni vertical au?.
  8. TODAYS

    Inaonekana Sheria za Fizikia hazitumiki kwa mbuzi!

    Wale kama mimi ongezea na hii labda itakupa darasa.
  9. TODAYS

    Inaonekana Sheria za Fizikia hazitumiki kwa mbuzi!

    Mbuzi wanaokaidi sheria za fizikia, kwenye clip hii wanashuka kutoka juu ya mti, hebu wataalam wa yule jamaa yenu mzungu wa kwa nini jiwe linarudi chini kutokana na sijui gravity mara atomy of mvutano, uwanja ni wenu sasa 😂!.
  10. TODAYS

    Bodaboda igeni hili litawapa Mileage Kibiashara na Kijamii

    a) Hapa bongoland kuna bikers unaowafaham na wana umoja?. b) Hakuna anayemsukumia mtu jambo labda huko kwenu, hapa tumetoa mfano wa jambo zuri, lililo zuri uigwa kwa jinsi lilivyo. c) Mimi nina nafasi yangu ambayo jamii inatambua au unataka niandike ujue?. d) Fulsa huwezi kuzibeba zote...
  11. TODAYS

    Bodaboda igeni hili litawapa Mileage Kibiashara na Kijamii

    Kundi la waendesha pikipiki huko jimbo la Arizona Marekani liitwalo 'Bikers Against Child Abuse' ambalo huwaweka salama wahathiliwa wa unyanyasaji hasa watoto, ikiwa ni pamoja na kulinda nyumba zao usiku ikiwa mnyanyasaji hayupo gerezani. Pia hawa jamaa huhudhuria mahakamani kushuhudia na...
  12. TODAYS

    Kwa sasa sioni Mtu Mwenye Nguvu na Bold Man kama Hayati Membe kuelekea 2025

    January, February, March, April 😂!.
  13. TODAYS

    Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

    Hamna mambo ya roho ni dust and dark spirit ndizo zinafanya kazi kwa kasi sana nowadays binti yangu. Snake generation kinapundia meza miguu juu na kuweka chakula hapo, bila kupepesa macho tafuta andiko lolote linaloweza kumsapoti huyo mwenzako ili nikuunge mkono!.
  14. TODAYS

    Daraja la Salender laanza kumong'onyolewa na Mafuriko, Magufuli aliona mbali kutujengea Daraja la Tanzanite!

    Hujamzoea huyu kijana wa Iringa?. Story zake ni fast tip story.
  15. TODAYS

    Maajabu: Simba dume wakipandana. Je, wanasayansi mko wapi?

    Yes, yes upo sahihi sana ndg Mtanganyika. Hizi mambo zipo very organized, hivyo wanaweza kuwa wamewafundisha au kuwapa dawa za kuwaharibu mfumo wao wa kibaiology ili tu wafanikishe agenda yao. Wakoloni si watu kabisa.
  16. TODAYS

    Rwanda itafaidika na nini kupokea wakimbizi toka Ulaya

    Hebu fikilia jamaa kutoka kasuru au tinde hapo naye yupo kwenye kundi la wakimbizi wanaopelekwa Rwanda, sipati picha 😂!.
  17. TODAYS

    Tunauza majeneza na sanda za kisasa... Karibuni sana wateja

    Mnapochangia mada someni jina la muhusika tafadhali.
Back
Top Bottom