Search results

  1. matevez

    HELLO MAMBO ZENU, NAMUHITAJI KIPENZI WA KIKE.

    Husika Na Kichwa cha habari, Mimi ni kijana 30 Niko kaskazini arusha kazi zangu ni ujasiliamali natufuta mchumba wa kike miaka 20-35 sina masharti wala vigezo aliyetayari anitafute au kwa email mafuru4@gmail.com
  2. matevez

    GAFLA LINE YA TIGO HAIKO HEWANI

    Natumia HTC d820 sasa toka sa tano haina netwk hadi sasa shida nini
  3. matevez

    Kioo cha nokia xl chahitajika haraka

    Mambo vip waungwana natumai kichwa cha habari chatosha kabisa natafuta hiyo kitu hapo juu yyte ambaye anayeweza nisaidia ani pm ili tufanyr biashara wandugu
  4. matevez

    Halotel

    Wadau nimekutana na hii kitu mtaani kwetu, hebu mwagen ubuyu nini kinaendelea hapa mjini......
  5. matevez

    Msaada wa kuroot nokia xl

    Wadau wote hasa Chief-Mkwawa, mwlact, na wengine wote msaada hapo nataman sana hii kitu niifanyie rooting, nawasubiri
  6. matevez

    App za kukuza ukubwa wa sdcard

    CHIEF Mkwawa , C6 , Mwl RTC , na wengine hebu tupen huu uzi maana hii kama imenisprize hivi.
  7. matevez

    Naomba msaada jinsi ya Ku block simu iliyoibiwa

    Chif mkwawa, na wengine juzi nilipigwa kimeo changu cha nokia xl, so nilikuwa anti theft lakin ya kaspersky ambayo kiukweli haijanipa msaada wowote kama kuna mwenye uzi basi aulete namna ya kuiblock
  8. matevez

    Haya a town hapa

    Ka uko A Town tusomane natafuta kiukweli demu wa kusukuma naye siku ili maisha yaendelee sina option yoyote 4 now kuwa nitafanya nini baadaye but now ni kula gud tym tu :D:D:D:D:D
Back
Top Bottom