Search results

  1. G

    Mzumbe University wanatoa kozi za PhD?

    Je Kuna PhD courses pale Mzumbe University? Na kama zipo ni zipi? Mode of study ikoje. Kwenye website yao hakuna lolote la kusaidia. Anayefahamu anijuze tafadhal
  2. G

    Mzumbe University wanatoa PhD?

    Je Kuna PhD courses pale Mzumbe University? Na kama zipo ni zipi? Mode of study ikoje. Kwenye website yao hakuna lolote la kusaidia. Anayefahamu anijuze tafadhali
  3. G

    Watumishi wa umma kutopanda vyeo/madaraja hadi wapitie mafunzo maalumu

    Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bi Angellah Kairuki akiwa kwenye kituo cha Utumishi Mkoani Mbeya. Amesisitiza kwamba, utaratibu huo utaanza mapema iwezekanavyo na kuwataka Watumishi wa Umma kufuata utaratibu utakaoainishwa. Chanzo: ITV ========...
  4. G

    Ultrasound: Mbona majibu yake ni tofauti kati ya hospital moja na nyingine kwa mgonjwa yuleyule?

    Napenda kujua ni kwa nini kuna utofauti wa taarifa ya majibu ya vipimo vya ultrasound kati ya hospital moja na nyingine kwa mgonjwa yuleyule hasa wajawazito! Je ni hali ya kibahatisha tu, au ni utofauti wa ujuzi wa watalam ama!!
  5. G

    DAR: Jengo la NHC zilipo ofisi za Tanzania Daima na Billicanas laanza kubomolewa

    NHC imeanza kulibomoa jengo la Bilicanas lililoko katikati ya jiji baada ya kuwapa notisi ya masaa 24 wapangaji wake kulihama na kuondoa vitu. Source: Channel 10 Mytake: Kama ni sababu za kisiasa hili jambo halijakaa vyema hata kidogo.
  6. G

    First Lady, Mama Janeth Magufuli yuko kwa TB Joshua leo

    Nimemuona mama Magufuli ndani ya SCOAN mchana huu, mwenye picha au video aipost. Nadhani imani na hekima ya mama huyu si ile ya kawaida. Na Mungu akiigusa hii familia ya Mkulu hakika tutakuwa na taifa lenye kutenda haki. Chanzo: Emmanuel TV
  7. G

    Waziri Ndalichako akataa ombi la Chuo Kikuu Huria kushusha viwango vya udahili

    Leo katika mahafali ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kulikuwa na ombi kutoka kwa Vice Chancellor Prof. Bisanda kwamba chuo chake kiruhusiwe kudahili wanafunzi chini ya vigezo vilivyowekwa na serikali, Lakini ombi hilo lilikataliwa na waziri Ndalichako. Chanzo: ITV ---- Ni jambo la kupongezwa...
  8. G

    Mafundi Gereji acheni kuchafua hovyo magari mnayoletewa kutengeneza

    Baadhi ya mafundi wa magari kwenye magereji wamekuwa wachafu sana kiasi cha kukera, kuanzia mavazi hadi miili yao. Yaani unapeleka gari labda akakufanyie tu service ya kawaida lakini gari itachafuliwa kuanzia kwenye siti, dashboard, show ya mbele, bampa, boneti yaani ni full oil na ma grisi...
  9. G

    Kunani pale Lindi mbona Mh Kassim Majaliwa anazuru kila leo?

    Au kwa kuwa ni homeland, kama sivyo mbona ziara za Mkoani Lindi zimekuwa za mara kwa mara? Najaribu kuwaza tu kwa sauti!
  10. G

    Vikao vya uchochezi: Yaani hata ITV wameogopa kutangaza kukamatwa viongozi wakuu CHADEMA!

    Sijaamini macho na masikio yangu, kumbe kituo cha Habari cha ITV sio objective katika kuhabarisha umma na sitaki kuamini kwamba hawana habari kwamba Viongozi wakuu wa CHADEMA wamekamatwa Leo!! manake habari yao yote ya leo saa 2usiku hawajatangaza,ni hofu ya kufungiwa na Mkuu Nape au nini hasa?
  11. G

    Wapinzani wakipewa fursa ya kufanya siasa kama zamani, nini kitatokea?

    Hivi serikali hii ya JPM ikiacha siasa ifanyike kwa kufuata sheria kama zamani nini kitatokea? Kwani serikali inaogopa nini hasa? Wapinzani wana nini cha kuiogopesha serikali kiasi hiki this time? Natamani Wapinzani wapewe Fursa ya kufanya siasa nione itakuwaje
  12. G

    Tunakoelekea: Kujiunga Master's degree lazima uwe na GPA 3.5 ya undergraduate

    Kwa jinsi hali ilivyo kwa sasa na kwa kuzingatia maamuzi ya kuboresha elimu sambamba na kuwa na wasomi wa kada ya kati, naona hivi karibuni serikali yaweza kuja na maamuzi kwamba kila anayehitaji kusoma elimu ya shahada ya pili lazima awe na ufaulu wa kiwango cha GPA 3.5 na kuendelea. Nawaza...
  13. G

    Sheria ya Rais kutoshitakiwa kwa makosa ayatendayo akiwa madarakani

    Nadhani hii ni sheria mbaya kati ya nyingine kadhaa ndani ya katiba yetu. Sifahamu iliwekwa kwa kuzingatia athari zipi. Je ina faida yoyote katika mazingira yetu ya sasa? Naomba kuelimishwa katika hili
Back
Top Bottom