Nilizaa mtoto na mwanamke (miaka 10)iliyopita,kwa kipindi chote hicho kila mtu alikua na maisha yake na hatukua na mawasiliano mpaka mwaka huu nilipopata mawasiliano nakufanikiwa kumkomboa mwanangu ambaye yupo kwa wazazi wangu na aonasoma darasa 3.Yeye alikua anaishi na mwanaume ambaye amezaanae...
Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo ukimlea kama wewe ulivyo lelewa ataingiliwa kila tundu lilopo mwilini mwake.Inaonyesha huyo dada amelelewa na mzazi mmoja,ila mtoto alie lelewa na wazazi wote wawili hawezi kutoa kauli kama hiyo.alizaliwa kwenye dangulo huyo dada
Kuna mzee wangu mmoja hajakwenda kwao kwa miaka 24 sasa yeye anaitwa ELIAS JULIASI MABELE MAGESA Anasema kwao ni Makutano Mazami wilaya Musoma vijini ye ni ukoa wa Mabele Nyalusao Mama ake anaitwa Mwajuma Nyalutila.Jinalake la utoto alikua anaitwa Mbogola.Mwanae wa kwanza anaitwa Swago.Mkewe...
Na bado barabara za mwendo kasi hazijaanza daraja la kigambon nk zikianza tu wabongo hatukawii kulewa sifa ccm lazima ipite tu mwakani.Chezea kampeni za kimyakimya wewe alaaa
Ukivaa kofia hakikisha unaifunga shingoni kwani wezi wengine wanakua kama abiria mkiwa safarini anakuvua na kuigeuza nyuma mbele na kukusukuma yeye mwendo na pkpk
Ndugu zanguni wana Jf hasa jukwaa hili la bishara & uchumi. Naomba nisaidieni kwa anayejua uzuri na ubaya wa pikpik aina ya chuma kabla sija inunua.
Natanguliza shukran zangu kwenu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.