ASANTEH MTUMISHI NIMEKUELEWA.
"Hata katika biblia kulikuwa na wafalme wehu" Mfano Mfalme Belshaza.
Msishangae kwa kile kinacho endelea katika Duniani yetu,
Mungu aliwaondosha hao watawala ama wafalme wehu,alipotaka kufanya hivyo.
Haya ni mapito tu na mwisho wake u karibu kutimia maana...
Jamani Natamani hata kwenda kijiji leo hii. MWANZA hakufai hata kidogo. Jamani sijawahi kuona tangu nizaliwe. Sijajua manake hawa sio mapolisi niwajuao ,wamevaa kama wanajeshi, nimepita mabati wanapiga gwalide,yani kesho ni Noma. Lazima mtu afe kwa namna yeyote ile. Hatari mi siwatishi ila mimi...
Hongera sana,mpaka nimetaman kama ungelikuwa my wife ningeringaje! Dah mme wako anajisifu kwa kuwa na mke hodari kama weye. Ama we ni wa Tanga kule mapenz yalikoanzia? Dah...! Nikitaka kuoa nitakutafuta unipatie mdogo wako. Ila mfundishe kwanza maujanja kama yako.
Haki ya Mungu namuacha kwa hali hii.
Wana Jf nawaombeni ushauri.
Kama nisipopata ufumbuzi tunaachana.
Namulaumu sana baba yangu kwa kunitafutia mwanake wa kuoa ambaye anaharufu kali na mbaya sana sehemu zake za siri.
Na ndo maana ni bora kufanyanae mapenzi mwanamke kabla ya kumuoa ili...
Mnazani wote tunakaa mjini? Wengne tumemaliza foim 6 na kwenda kijiji kuchunga ng'ombe zaidi ya kilomita 320 kuja mjin. Na huku kwa babu ni zamu kuchunga ng'ombe. Kilichonisaidia kusoma ni yeyebo. Juz ndo nimepata hela na kununua haka ka cmat fone ndo nikaona nijiunge jf na kuuliza. Munanilaumu...
Mpaka sasa sijajua kama nimechaguliwa kwenda chuo ama hapana. Profile yangu inasomeka hivi:JINA LANGU,Profile applied for Teachers Education NTA 7.
Wadau hii maana yake ni nini?
Nimeingia kwenye email yangu sijakuta chochote. Nikaangalia profile yangu kwa juu mpaka chini hakuna taarifa ya kuwa selected ama ya kutokuwa selected. Msaada jamani nimeangalia kwenye website ndio wametoa lakin mbona mimi cjapokea hata meseji? Au ilikuwa pending application yangu? Ama wanatuma...
Nahiji kwenda kusoma lakini kila nikiangalia profile yangu hakuna chochote. Nimeapply kwenda diploma ya Ualimu. Ama wezangu mmeshapokea selection za vyuoni?
Magufuli alia mwenyewe asema amesalitiwa,na kama angejua usariti huo asingethubutu kugombea. Kikwete amtelekeza, Mkapa akimbilia Tanga na Mwinyi nae asepa Zanzibar. Siku 62 za kampeni kikwete aonekana mara 2 tu,cku ya uzinduzi na Morogoro. Mwanza tunamunyoa Magufuli.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.