Search results

  1. M

    R.I.P. Dr. Remmy Ongara

    R.I.P Remmy Nitakukumbuka kwa nyimbo zako ambazo ni kama unabii unaotimia kwa wakati wake, uliona mbali.
  2. M

    Anne Semamba Makinda's Profile!

    Ndugu zangu niliwahi kusikia mahali kuwa speaker wa bunge walau awe na ufahamu wa sheria au niliingizwa chaka, nielimisheni jamani katika hili. Pia naona kwa CV hiyo ya huyo mama haitamsaidia sana katika uspika wake, labda kama kigezo kikubwa ni uzoefu. Wanajamvi nisaidieni vigezo vya kuwa spika...
  3. M

    Elections 2010 PICHA: Kampeni za Slaa jijini Dar es Salaam leo

    Ndugu usijisumbue kuhakiki kwa mtandao, kwa sababu mimi nimehakiki jina na kituo vipo kwenye database ya NEC lakini kituoni jina halipo katika yale yaliyobandikwa, ushauri wangu nenda kituoni kwako, muda umekaribia kwisha (anyway check hapa www.nec.go.tz)
  4. M

    Elections 2010 Ananilea Nkya amfagilia Regia Mtema

    Hapa nayakubali maneno ya Reginald Mengi "watu wenye ulemavu wa viungo wasikae na kulia juu ya viungo vyao vilivyopotea bali watumie vile vilivyobaki au vilivyopo kujiletea na kuiletea jamii inayowazunguka maendeleo". na hii ni pamoja na kushiriki katika nyanja mbalimbali kama siasa, elimu na...
  5. M

    Elections 2010 Maoni ya Joel Kimbisa juu ya Dr. W. Slaa

    Uchambuzi huu ni makini, Thanx ndugu
  6. M

    Yah: Kuunga mkono CHADEMA kwa sasa

    Kwa mtizamo wangu japo mimi si mwandishi wa habari wau hata mwanasiasa, na kwa uelewa wangu mdogo katika masuala ya uchambuzi, Mzee Mwanakijiji ni kuwa chama chochote kinachokuja na sera, lengo, nia na hata kutaka kutumia mali,nguvu na akili zao zote kwa ajili tu ya kuingoa CCM madarakani...
  7. M

    Hukumu ya mgombea binafsi hii hapa (AG vs Mtikila)

    Kaka elimu yako ianzie kuwafanya wawe sehemu ya Watanzania, manake wamekuwa kama external observers au watu fulani hivi wanaoelea hewani, kwamba yanayotokea hapa Tanzania hayawahusu wao wala vizazi vyao. Wanaandika mambo ya msingi ya nchi kama wao hawahusiki nayo. Mfano mtanzania anaandika...
  8. M

    Makhirikhiri:Ni mfano wa kuigwa

    Hapo penye bold and coloured ndipo watanzania na baadhi ya waafrika tulipokosea na kupoteza mwelekeo. Utasikia kila kitu serikali itufanyie (Kuchimba choo, kuzoa takataka, au kuondoa jalala mahali fulani, n.k), rais njoo utusaidie, waziri mkuu sikia kilio chetu n.k, wakati mambo yakiendelea...
  9. M

    Peaneni pole baada ya tendo la ndoa

    I agree with you, these are the right words to say to each other.
  10. M

    Mke mwema hutoka kwa BWANA?

    Nikiwaza kwa sauti juu ya jibu la swali lako hapo juu, nafurahi manake na wewe jibu unalifahamu. Jibu lipo katika user name yako, hii ni kama unaamini juu ya Gender Issues. Wote tunahitaji kuwa wema kwa wenzetu. Hata hivyo hii haijanizuia kutafakari zaidi juu ya why mke mwema na sio mume mwema...
  11. M

    Mke mwema hutoka kwa BWANA?

    Mke mwema kwa kizazi cha sasa ni subjective (yaani inategemea huyo anayesema mke wangu nimwema anaangalia kutoka upande gani). Mke mwema kwa Mtu x sio lazima awe mwema kwa mtu y au kundi la watu. Mke mwema kwa vigezo vya Mungu ni Universal. Cha msingi kabla ya kuoa chagua mtu (mke) ambaye ana...
  12. M

    Mke mwema hutoka kwa BWANA?

    Mke mwema kwa kizazi cha sasa ni subjective (yaani inategemea huyo anayesema mke wangu nimwema anaangalia kutoka upande gani). Mke mwema kwa Mtu x sio lazima awe mwema kwa mtu y au kundi la watu. Mke mwema kwa vigezo vya Mungu ni Universal. Cha msingi kabla ya kuoa chagua mtu (mke) ambaye ana...
  13. M

    Majaji waitoa jasho serikali kortini Dar!

    Mke mwema kwa kizazi cha sasa ni subjective (yaani inategemea huyo anayesema mke wangu nimwema anaangalia kutoka upande gani). Mke mwema kwa Mtu x sio lazima awe mwema kwa mtu y au kundi la watu. Mke mwema kwa vigezo vya Mungu ni Universal. Cha msingi kabla ya kuoa chagua mtu (mke) ambaye ana...
  14. M

    Kaka yangu anataka kunioa

    Wakuu heshima daima Japo sijui umri wa huyu kijana wa kiume (walau huyo wa kike ni 23 yrs), hawa naona ni watoto bado na watakuwa walianza hiyo tabia wakiwa wadogo zaidi, hiyo mara kadhaa yao waliyofanya huo mchezo ina maana kubwa sana. Haya ni maradha ya malezi hasa hapa mjini, watoto wa...
Back
Top Bottom