Search results

  1. M

    Maeneo yapi yana vibe kwa Iringa?

    Nimepakumbuma, wanachoma mbuzi. Mbona pamechoka tu?
  2. M

    Yero Subai - Mmasai

    🤣🤣🤣🤣, yaani tangu 2008 hadi leo hakuna mmasai aliyewezeshwa kuona huu uzi?
  3. M

    House4Sale Nyumba Inauzwa Vingunguti

    Sqm 135🤣🤣🤣🤣
  4. M

    Habarini wakuu hivi nyumba kama hii inaweza gharimu sh ngapi hadi finishings?

    Nunua tofali za msingi, cement mifuko 20, mchanga tipper 2, kokoto tipper 1. Nondo 10, ita fundi muelewane kazi ya msingi. Anza ujenzi. Ela ikibaki pandisha tofali, ikiisha suburi upate nyingine! Acha kupiga hesabu hadi za materials za kiingereza utachanganyikiwa
  5. M

    KERO Walimu Sekondari JM Kikwete ya Tunduma waache kulazimisha Wanafunzi kununua karanga

    Bora huyu anatumia viboko vya fimbo, wengine wanatumia viboko vya nyama
  6. M

    Maeneo yapi yana vibe kwa Iringa?

    Ni wapi?
  7. M

    Handeni kuna fursa ya Glocery

    Masai yenyewe inausa dawa
  8. M

    Mimi ni nani?

    Ebu watag watu unaohisi watavuta humu
  9. M

    Natafuta Mteja wa pumba laini

    Uko wapi
  10. M

    Handeni kuna fursa ya Glocery

    Duka la dawa kwa wachawi la nn?
  11. M

    Je huyo uliyeoana naye ndio wa ndoto zako?

    Dogo oa acha maswali mengi
  12. M

    BAKITA mtatuua ni hiki Kiswahili chenu mnachokiita "Fasaha"

    Bora hapa inaonekana kuna ubantu, neno live kuitwa Mubashara sikubaliani nalo. Yaani sasa ivi tunashindwa kutafuta maneno yetu ya kiswahili tunachukua ya kiarabu???
  13. M

    Mgogoro wa Kidiplomasia wasababisha Timu ya RS Berkane kugoma kucheza dhidi ya USM Alger

    Najua dini ni kubwa na muhimu kuliko siasa
  14. M

    Mgogoro wa Kidiplomasia wasababisha Timu ya RS Berkane kugoma kucheza dhidi ya USM Alger

    Ivi hakuna kamsemo kuwa Mwarabu mwenzio ni ndugu yako? Nakumbuka kuna dini fulani wanasema dinimet mwenzio ni ndg yako regardless anatoka wapi. Huu uadui ni wa nn?
  15. M

    Nahitaji mtu mzima nitulie nae

    Unaendeleaje?
  16. M

    Virutubisho vinavookoa gharama katika ufugaji

    Sasa ulamaa, iweje chakula kifanye kazi ya kuongeza nyama, Maziwa na mayai kwa pamoja??
  17. M

    Hii hapa Miji na Wilaya 60 zenye mapato mengi na mzunguko mkubwa wa biashara Tanzania

    Kuna uzi fulani tuliwaambia watu Jiji la Dodoma litaipita mwanza soon tulishambuliwa sana, time will tell, naongeza miaka mi5 ijayo. Takwimu zitaongea tu
  18. M

    Nimeng'atwa na nyoka ndotoni

    Malizana naye hukohuko
  19. M

    Wahudumu wa massage wanahitajika DSM

    Yes, walioingia na 25yrs sasa ivi wana 30+ so wana phase out uingize waliokuwa na 14 yrs mwaka 2018
Back
Top Bottom