jf acheni kupotosha. nimepata bahati ya kumfahamu Dr.Nchimbi pale UDSM hakika huyu mama si mlevi wa madaraka na shabiki wa ccm kama walivyo kina mama wengine ndani ya ccm yao. anapenda kazi yake ya kufundisha. nimesikia sikuhizi bado anafundisha chuo cha dodoma huku akiwa rc. hiki kichwa chadema...
Mzee Mtei na Msuya ndio wazee wenye power ya kuongea bila woga zidi ya upuuuuuuuuuuzi wa jk & co. Muulize magembe akupe moto aliopewa na msuya, alichizika atii, maruhani yalimpanda kama desturi yenu
Kama shida ni mahakama ya kazi kinachowafanya msianzishe ni nini? Ninyi vilaza sana, kila kitu mantaka serikali ifanye!! Tumia kichwa kufikiria achaneni na maruhani
Komredi Ngosha:
Humjui zitto wewe, Zitto ni zao la TISS, amini usiamini, najua mpango mzima alivyoandaliwa na wenzake kuingia TISS. Leo nakuweka hadharani wewe kibaraka wa TISS. Heheheheheh.
Tume ya Katiba binti barakshia!
Lipumba alikanusha au kupinga wapi ungese wa ruhani juha bin jussa?
Unaendeshwa na mapepo ya dini yako, hata kufikiria unashindwa.
Tume ya Katiba binti barakshia!
Lipumba alikanusha au kupinga wapi ***** wa ruhani juha bin jussa?
Unaendeshwa na mapepo ya dini yako, hata kufikiria unashindwa.
Pongezi kwa kuona kibanzi kwenye jicho la mzee MTEI.
Lakini ukiwa kama kinara wa kupinga ubaguzi wa kidini na kikanda ndani ya nchi ya kusadikika Tanzania, nipe jibu la swali hili Ndugu.
J.u.ha a.k.a jussA, ametoa kauli ngapi za ubaguzi dhidi ya wakristo na ubaguzi zidi ya Watanganyika...
Zitto ni mafiki huyooo, wengi naona hamjui nani walimtuma kuingia Chadema, fuatilia uhusiano wake na kile kikundi chao wakiwa chuo kikuu. Kundi lao lilikuwa limeandaaliwa, wenzake woote wako na position nzuri tuu kwenye kila chama cha upinzani, naona wengi hapa hamjui kilichoko chumbani pale...
Acha majungu wewe!
CCM na zenj ndio wanadhihirisha walivyo wabaguzi wa kidni.
Kitu kipo wazi muslims ni wabaguzi by nature dunia nzima, ni kitu wanachofundishwa, na hiki ndicho jk anachofanya. Iko siku atalia na kusaga meno huyo mkuda wenu.
Mzee wetu wa kichaga Mtei yupo sahihi kabisa. Hakukuwa na sababu za msingi kuwa na idadi sawa na wazanzibar. Nimetazama ramani ya nchi ya kusadikika tanzania, nikatazama Tanganyika then nikavaa miwani niweze kuiona zenj, nikatambua kuwa walioko magogoni akili zao hazifanyi kazi.
Sitaki...
Mzee wetu wa kichaga Mtei yupo sahihi kabisa. Hakukuwa na sababu za msingi kuwa na idadi sawa na wazanzibar. Nimetazama ramani ya nchi ya kusadikika tanzania, nikatazama Tanganyika then nikavaa miwani niweze kuiona zenj, nikatambua kuwa walioko magogoni akili zao hazifanyi kazi.
Sitaki...
Majina ya viongozi wetu baada ya uchaguzi ni haya:
2010/15
1.JK-Rais wa URT
2.Karume-VP wa URT
3.Pinda-PM
4.Shein-Rais wa zenj.
2015/20
1.Lowasa-Rais wa URT
2.Karume-VP wa URT
3.H.Mwinyi-PM
4.Shein-Rais wa zenj.
Habari ndio hiyo, lamda augue mtu.
mimi nipo sijaoa, lakini napenda kutoka na mademu wanaonizidi umri,wanene kiasi hasa makalio na upaja, warefu kwa sana, sasa nina girlfriend ananizidi 10yrs, yaani nimekufa sina hali, huyu ni wa saba sasa, lakini nashangaa kwanini napenda watu wakubwa tuuuu?
Pole arifu
China kuna watz wengi sana wafanyabiashara waaminifu tu,kwanini hampendi kuwatumia hao?Nimekaa uchina zaidi ya ten years,asikwambie mtu wanaumiza kichwa hakuna mfano, watakuzungushaaa,at the end of the day watakuambia "MEI BAN FA".
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.