Search results

  1. Prince Kunta

    KMT Wiki Hii Msajili wa Vyama, Jaji Mutungi, Father Kitima, Balozi Amina Salum Ali, Ismail Jussa, Mjengwa, Selasini, Kibamba, Cheyo Waunguruma!.

    Uyo Mjengwa ni kada mtiifu wa CCM hawezi kuchambua siasa labda kusifia CCM na kuponda upinzani tu
  2. Prince Kunta

    Ngushi bye bye Yanga

    HUyo anaenda Coastal Union anaingia katika kikosi cha kwanza bila shida, Yanga chuo Ngushi ameshafuzu
  3. Prince Kunta

    Tetesi: Ole Sabaya kuwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam

    Watu walishatoa ushahidi na alishahukumiwa mahakamani kwa matendo yake aliyofanya ni vile Tz nchi ya hovyo ndo mana ametolewa
  4. Prince Kunta

    Tetesi: Ole Sabaya kuwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam

    Ila sasa hivi atakuwa na adabu maana amepata ubatizo wa moto
  5. Prince Kunta

    Tetesi: Ole Sabaya kuwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Dar es Salaam

    Huwa wanasema aliyehukumiwa kwa kosa la jinai hapaswi kuwa mtumishi wa umma....Sabaya ni jambazi lilipaswa kuwa gerezani
  6. Prince Kunta

    "Try again" amefarijiwa na Rais wa FIFA Infantino. Kiaina

    Try again ameshawajua mashabiki anaowaongoza ni mambumbumbu wanapenda sana habari kama hizo kwahyo nae anatembea humo humo tu
  7. Prince Kunta

    Hali ya mvua kwenu ikoje?

    Hapa nilipo inanyesha sana
  8. Prince Kunta

    Rais Samia akikupa mualiko Ikulu wa dakika 5 utamshauri nini kama kijana wa kitanzania?

    Nitamshauri aniteue ukurugenzi wa jiji la Dar es salaam
  9. Prince Kunta

    Hizi Vanguards zimekuwa nyingi sana

    Vanguard ni RAV4 iliyochangamka
  10. Prince Kunta

    TETESI: Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu kujiuzulu muda wowote kuanzia sasa

    Hizi goli 5 za Yanga zitaondoka na wengi sana pale kwa makolo uwenda kuanzia kocha mpaka meneja wa habari nae rungu likamkuta
  11. Prince Kunta

    Iringa: Mke wa Mtu na Mume wa Mtu wafia Mgahawani wakiwa uchi

    Mke wa mtu tututu sumu Mume wa mtu tututu sumu
  12. Prince Kunta

    Hatu ya Makundi CAFCL: Inaweza kutokea Simba na Yanga kupangwa kundi moja

    Droo ya bila kufungana au ya 1-1 au kufunga goli moja na zaidi
  13. Prince Kunta

    Hatu ya Makundi CAFCL: Inaweza kutokea Simba na Yanga kupangwa kundi moja

    Kwenye hatua ya makundi haziwezi kukutana labda kuanzia robo fainali na kuendelea ni kama makundi ya UEFA timu za nchi moja hazipangwi kundi moja.
  14. Prince Kunta

    FT | Al Merrikh 0-2 Young Africans | CAFCL Group Stage Qualifier | Pele Stadium, Kigali | 16.09.2023

    Sasa wakulaumiwa ni serikali yao kwa kushindwa kuweka hali ya amani uko Sudan. kazi ya Yanga ni kukufuata popote ulipo na kukuchapa tu
  15. Prince Kunta

    FT | Al Merrikh 0-2 Young Africans | CAFCL Group Stage Qualifier | Pele Stadium, Kigali | 16.09.2023

    Anauguliwa na baba yake mzazi, wala hakusafiri na timu
  16. Prince Kunta

    FT | Al Merrikh 0-2 Young Africans | CAFCL Group Stage Qualifier | Pele Stadium, Kigali | 16.09.2023

    Makolo tukubaliane kabisa hawa El Merrikh ni vibonde au si vibonde?
  17. Prince Kunta

    Aina hii ya mabinti ni ngumu sana kuolewa

    Wadada wanaojichubua na kuweka breach mwaka mzima ipo kichwani tu
Back
Top Bottom