Search results

  1. U

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    kusini mkoa gani tubadlishane .
  2. U

    Kwa wasomi wa nchi na jamii forums kwa ujumla!

    Jawabu sahihi ni C kwa sababu a, b na d siyo sahihi.
  3. U

    Waungwana far from home

    umepotea njia ndugu .., punguza hizo data zimezidi kidogo !, delete some !
  4. U

    Waungwana far from home

    Njoo Manyara nirudi Moro .
  5. U

    Walimu ajira mpya ogopeni CWT mtalia kama tunavyo lia sisi

    itasaidia nini kama aliyemwanachama na asiye mwanachama wote wanakatwa 2% !?
  6. U

    Nimeumizwa sana na Hili la TAMISEMI:

    vp mkuu kwema lkn !, ushafika kituo ?
  7. U

    Chamwino, Dodoma .

    Ualimu ajira mpya, mwenye uelewa na wilaya hiyo tafadhali anijuze ..
  8. U

    Mfuko gani wa penshen nijiunge leo? (kwa mm mwalimu)

    Mkuu wengi wanaongea tu, hawaujui ukweli !
  9. U

    Mfuko gani wa penshen nijiunge leo? (kwa mm mwalimu)

    Kuwa makini , chunguza vizuri usifuate mkumbo !
  10. U

    Mfuko gani wa penshen nijiunge leo? (kwa mm mwalimu)

    Utajuta na LAPF yako baadae !, wewe waza kesho wenzako wanawaza kesho kutwa !
  11. U

    Hatimae nishafika.

    Ukiishi kwa kujifananisha na watu ujue umekwisha maana hilo suala la kudumaa akili inategemea na mtu mwenyewe !, wapo waliopo kijjn lakini hatua walizopiga kimaendeleo ni zaidi ya wengi ambao wanaishi kwenye mapango ya kulipia kwa mwezi ..
  12. U

    Hatimae nishafika.

    Pambana Mwalimu , 'u can'
  13. U

    Hatimae nishafika.

    Kila la kheri .
  14. U

    Fedha za kujikimu ajira mpya

    Mkuu gashambala uwezo , jaribu kuangalia huu uzi ni wa mwaka jana na anaeuliza aliuliza mwaka jana !, usitumie nguvu nyingi sana mkuu ..
  15. U

    Kuelekea Mwaka 2015: James Millya vs Christopher Olesendeka jimbo la Simanjiro

    Hivi Simanjiro ni wilaya ya ngapi kimaendeleo katika mkoa ! ? , miundombinu , afya na huduma zinginezo kama za maji na elimu ! , wadau kuna mabadiliko yoyote ! ?.
Back
Top Bottom