Search results

  1. Kagosaki

    Naumia kumuona mtoto wangu

    Mkuu, mi nakuunga mkono. Japo ya kale yamepita, ila huko nyuma kuna mtoto wako. Kwa mtu yeyote mwelewa, atakusamehe tu. Kwanza, kama jamaa anasali, uende kwa Mchungaji wake ukapate ushauri, usiende mahakamani maana hapo kesi yenu itakuzwa na magazeti ya udaku. Nenda kapate ushauri kwa mchangaji...
  2. Kagosaki

    "Professional housemaid" anahitajika

    Tunahitaji kumuajiri housemaid nyumbani kwetu ambako mimi na mke wangu tunao watoto wawili tu, na msichana wa kazi mmoja. Lengo kuu la professional housemaid ni kuongea na kuwafundisha watoto lugha ya kiingereza pindi watokapo nursery school. Housemaid atasaidia kazi nyingine za kulea watoto...
  3. Kagosaki

    Kozi kwa waandishi wa Habari

    Iwapo wewe ni Mwandishi wa Habari mwenye uzoefu wa Miaka 2 au 3, kuna kozi fupi hapa ambayo utasoma bure! Kozi hii itakupa uwezo mkubwa jinsi ya kuandika masuala ya urahisi wa kufanya biashara. Kozi hii inaendeshwa na Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino Mwanza na kufadhiliwa na BEST-AC na...
  4. Kagosaki

    Harufu mbaya kikwapa: Wanaume wako pia.....

    Du! Wiyelele hiyo kali sana. Umenikumbusha jamaa moja tulikuwa tunakula na alipoanza kuongea tu, mate yake yakajaa kwenye sahani zetu. Huyo jamaa mwenye harufu ya kikwapa anaweza kabisa kukimaliza maana mtalaam mmoja ametoa ushauri wa kutumia ndimu....
  5. Kagosaki

    Mmiliki wa Hotel ya Malaika Mwanza ni nani?

    Mi napita tu sisemi kitu.....
  6. Kagosaki

    Sauti ya "kike" inanisumbua usingizini

    apo kazi ipo! Sasa wenye sauti kama ya wanaume hamna nafasi kwa Wiyelele
  7. Kagosaki

    Sauti ya "kike" inanisumbua usingizini

    Hapo kazi ipo! Sasa wenye sauti kama ya wanaume hamna nafasi kwa Wiyelele
  8. Kagosaki

    Corolla Sprinte inauzwa, nzuri kabisa

    Jamani gari hii sasa imeuzwa, haipo tena.
  9. Kagosaki

    Corolla Sprinte inauzwa, nzuri kabisa

    Mkuu, gari liko Dar hapa.
  10. Kagosaki

    Corolla Sprinte inauzwa, nzuri kabisa

    Jamani Wiyelele, naomba jadilini gari sio elimu na wadhifa wangu jamani.
  11. Kagosaki

    Corolla Sprinte inauzwa, nzuri kabisa

    Madalali nimeshinda nao maana wanataka wapate zaidi kuliko mwenye mali.
  12. Kagosaki

    Corolla Sprinte inauzwa, nzuri kabisa

    Nsuri kabisa, Km 10 kwa lita moja kama unatumia AC.
  13. Kagosaki

    Corolla Sprinte inauzwa, nzuri kabisa

    Nauza gari hili, bei nzuri kabisa. 5.7 mil negotiable. Lina 1490 CC, 1998, Registration ASE, Ina sports rim, mileage chini ya 125,000. Engine safi haijawahi kuguswa. Ilipigwa rangi za bamber ya mbele na nyuma tu lakini ina original colour. Ni safi ndani na ina AC kali. Linatembea. Email me at...
  14. Kagosaki

    Pinda na umiliki wa Sumry Express

    "alitaka Yambesi awe Katibu mkuu kiongozi kwa sababu wanatoka wote RUKWA mzee Luhanjo akamzidi kete kwa kumpendekeza best yake mzee OMBENI" Alas! Kumbe vyeo watu wanapeana kwa kujuana? Kwa hiyo mimi nikiacha udereva wa boda boda nampa kazi rafiki yangu bila kujali kama anajua kuendesha au la...
  15. Kagosaki

    Kuolea nyumbani kunadumisha ndoa

    Kweli nimeipenda hii, kali sana!
  16. Kagosaki

    JF member of 2012!

    wiyelele
  17. Kagosaki

    Kuolea nyumbani kunadumisha ndoa

    Inatagemeana kama unafuata ukoo kwa mama au kwa baba.
  18. Kagosaki

    Kuolea nyumbani kunadumisha ndoa

    Kweli kabisa nakubaliana na wewe. Kabila ni catalyst muhimu sana.
  19. Kagosaki

    Kuolea nyumbani kunadumisha ndoa

    Wiyelele, mi nakubaliana na wewe kabisa. Kuna mambo mengi ambayo yanatofautiana iwapo mtu umechanganya haya mambo!
  20. Kagosaki

    Dawa ya kugandisha: Kukomoa au kudhalilishana?

    Wiyelele, hebu nikuulize, mambo ya kijinga hapa ni yapi? Ya kumgandisha "mwizi" au kuendelea na wizi?
Back
Top Bottom