Naomba nieleweshe vizuri kwanini yule mtuhumiwa alishika jana bendera ya taifa pale mahakamani Mwanza hakuweza kupigwa wala kufunguliwa mashtaka?
Naomba msaada kIdogo kwa hilo
hatimaye mkuu mpya wa chuo cha saut mwanza aanza kazi baada ya fr. mgeni kujiuzulu,hyu nae ni fr. ametokea Jordan university ambayo ni branch ya saut,fr. kitima kaiacha pabaya sana saut mpka leo kuna wafanyakazi wenzetu hawajalipwa mishahara ya miezi mitatu,kitima ni fisadi sana
Wasailiwa waliofanya usaili kuanzia tarehe 4 hadi 15 Machi, 2014 kwa kada za Kilimo, Mifugo na Uvuvi wametakiwa kuangalia majina yao katika Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira kwa watakaokuwa wamefaulu usaili huo kuanzia tarehe 28 Aprili, 2014.
Naibu Katibu wa Idara ya Ajira katika Sekretarieti ya...
katika hali ya kushangaza mkuu wa chuo cha saut mwanza ameachia cheo hicho baada ya kuona wanafunzi nane wamefukuzwa chuo bila utaratibu wowote,sababu nyingine ni kuwatoza wanafunzi penalty ya laki moja wachelewapo kulipa ada ameuliza hyo penalty inaenda wap na kwanini wanafunzi wapigwe...
tukumbushane vituko vya pale nakukumbuka sana mwl kisinza(rip) na mwl kitindi na masunga endelea kutililika jamani bila kumsahau chisumo maarufu km assume
Hii ofisi imekua kero sana kwa sisi wateja,kwanza ukifika hapo secretary hata hakujali,hawana lugha nzuri kabisa kwa wateja wao,wanafanya kazi kwa mazoea,leo nimeenda pale nimekaa nje toka asubuhi mpaka saa tisa yaani muda wa kutoka ofisi bdae mtu wananiambia nirudi jumatatu,nimeuzika sana...
mimi nimwajiriwa kwenye wizara ya nishati na madini km assistant computer operator(kwa maana niliajiriwa kwa cheti ) wakati huo huo nilikua na degree ya IT pamoja na postgraduate ya IT,toka nimeajiriwa mwaka 2012 nov mpka leo sijabadilishiwa mshahara wangu pamoja na kupeleka vyeti vyangu vyote...
Nunua daily news ya jana kazi kibao
========= KAZI HIZI HAPA ===================
Jobs at BUGANDO MEDICAL CENTRE:
Bugando medical centre is therefore inviting suitably qualified Tanzanians to fill the following Vacancies;-
- Senior Medical Doctor,
- Medical Consultant,
- Computer Operator...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.