Search results

  1. Mgoroko

    New joint in Town

    Kiwanja kipya na cha kijanja ASTORIA Bar & Grill,chafunguliwa ndani ya mji unao kuwa kwa kasi Mafinga Town ndani ya mkoa wa iringa,fika ujipatie huduma zilizo enda shule kuanzia saa 12.00 Asubuhi hadi Saa 12.00 Asubuhi kwa kifupi huduma ni 24hrs,kiwanja kinapatikana ilipo kuwa Aficabanna,kwa...
  2. Mgoroko

    Astoria Bar & Grill,Mafinga,Iringa

    Kiwanja kipya cha kijanja kimefunguliwa mji mpya unao kuwa kwa kasi Mafinga,Iringa,Fika ujipatie huduma zote muhimu kwa binadamu aliye timilika,na usahau kama upo ugenini.
  3. Mgoroko

    Nina sababu Tilioni za kumchagua Magufuli

    Najua kwa watu wenye iq ndogo najua watapata mihemko mikubwa sana,lakini kwanini nasema nina sababu tilioni za kumchagua magufuri kwa sababu zifuatazo 1.Magufuri alikuwa waziri wa kwanza kuto pwaya katika wizara yeyote ile aliyo teuliwa. 2.Magufuri ni kiongozi mwenye vision kubwa sana na nchi...
  4. Mgoroko

    2015 ni mwaka ambao Tanzania haitausahau

    Kila nikiangalia upepo wa kisiasa unavyovuma nchini kwetu napata mashaka Tanzania itakuwaje baada ya july 14. Katika kipindi cha mpito ambacho nchi yetu inapitia nadhani 2015 ni mwaka wa mtihani mkubwa sana kwa wananchi wa Tz na Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi. Ikumbukwe Watanzania wa sasa...
Back
Top Bottom