Search results

  1. D

    Tunu za taifa uwazi na uwajibikaji

    Hivi ni kweli chama tawala kimependekeza kuonda kwenye rasimu tunu za taifa, ambazo ni uwazi na uwajibikaji?na bado wanajigamba wanamuehezi mwl nyerere? Hivi ni kwanini viongozi wa chama cha mapinduzi wanatudharau sana wananchi wake kiasi cha kutuona atuna akili?
  2. D

    Maendeleo ni watu sio vitu

    Mwalimu alisema nchi yeyote ili ionekane imeendelea inatakiwa maendeleo yake yalenge zaidi watu kuliko vitu, sasa tanzania inakua kiuchumi lkn watu wake wanazidi kuwa masiki je?ndio kumeenzi mwalimu?
  3. D

    Hivi ni kweli sera ya chama inaweza kuwa dira ya nchi?

    Ndugu wana jamii akuna nchi yeyote duniani inaweka dira ya chama kuwa ya nchi na ikafanikiwa, nijuwavyo huwa nchi inaongozwa na dira ya taifa na nchi nyingi zenye dira ya taifa zimefanikiwa
  4. D

    Vipi wana jamii katiba imepatikana?

    Wana jamii wenzangu tuliahidiwa kuwa katiba itapatikana baada ya siku sabini vipi mbona siku sabini zimepita katiba ayajapatikana?
  5. D

    Viongozi wa dini walioko bungeni mbona matusi yanaongezeka?

    Napenda kuwauliza viongozi wa dini waliko dodoma mbona matusi yamezidi? Wakati ukawa awapo bungeni
  6. D

    Nauliza swali viongozi wa dini walioko bungeni na mwenyekiti wa bunge maalum la katiba

    Mimi ni mtanzania wa kawaida huwa napenda kujifunza na kuiliza, Jana mjumbe wa bunge maalum la katiba Paul Makonda akiwa anachangia bungeni aliwaita UKAWA ni mashetani, je ni kweli ni mashetani? Na kama ni kweli ni mashetani mbona mliridhia kanuni na mashetani? Na tena mkaenda mbali zaidi...
  7. D

    Nashauri rais kikwete aunde tume nyingine

    Namshauri rais kikwete aunde tume nyingine ikusanye maoni ya wa wananchi, na baada ya kukusanya maoni ya wananchi tuyaowanishe na tume ya warioba then tupate rasimu nyingi ipelekwe bunge ikajadiliwe
  8. D

    Wabunge walio wengi wakosa hoja

    Dodoma. Wabunge walio wengi wamekosa hoja na badala yake wamebaki wakimkosoa warioba na kungangania mfumo wa serekali mbili bila kutoa hoja nzito ni kwa nini wanakataa mfumo wa serekali tatu,mmoja wa wabunge wa kundi la walio wengi wamesema kuwa wanaongangania mfumo wa serekali tatu wanapigania...
  9. D

    Utafiti unaonyesha katiba bora inaweza kuondoa umasikini kwenye jamii na inaweza kuondoa chuki kweny

    Watafiti kutoka nchini kenye wametafiti na kubaini kuwa katiba ni chombo kinachoweza kuondoa umasikini kwenye jamii, watafiti hao wamesema kabla ya katiba mpya nchini kwenye jamii ilikua imejenga chuki kubwa sana baina yao wanasema baada ya katiba mpya chuki miongoni mwa jamii imepungua sana na...
  10. D

    Vunja vunja Mwenge yaleta kizaa zaa

    Uamuzi ulichukuliwa na manispaa ya Kinondoni ya bomoa bomoa imewacha vijana zaidi ya elfu kumi wakiwa hawana sehemu ya kwenda. Nikiongea na vijana hao wameilamu serikali kwa kuhamasisha vijana wajiajiri wenyewe lakini wanavyofanya hivyo serikali uingia kati na kuwafukuza kwasababu kuwa maeneo...
  11. D

    Hoja dhaifu wanataka serikali tatu wana uchu wa madaraka

    Baadhi ya vikundi vya bunge malumu la katiba vilivyofilisika kwa hoja wameanza kueneza propaganga kuwa watu wanataka serekali tatu wanataka madaraka sasa ndugu zangu naomba kuuliza hivi serekali tatu tutakua na mawaziri kumi na tano, pia wabunge wapepigwa stop kuwa mawaziri imependegeza uwazi...
  12. D

    Ccm watumia fuso kubeba watu na kuwapeleka mwembe yanga

    Cha mapinduzi ccm jana kilifanya kazi kubwa sana ya kubeba watu kwenye magari aina ya fuso na kupeleka watu kwenye uwanja wa mwembe yanga kwa ajili ya mkutano wa katibu mkuu kinana na vilevile waligawa pesa kwa watu waliouzuria kwenye mkutano huo
  13. D

    Kura za maoni napendeza ziwe za wazi

    Kwanza nianze kukipongeza chama cha mapinduzi kuleta dhana ya uwazi, chama tawala kimekubali kipenge cha rasimu ya katiba kinachopendeza uwazi serekalini kwa maana hiyo kuanzia mwaka wa bajeti tutaanza kuona mikataba yote ya tanzani tuliyoingia na china na mikataba yote ya madini honge sana ccm...
  14. D

    Watanzania na wamoja sana huku mtaani tatizo ni viuozi

    Mm nashanga ccm na chadema viongozi mnachukiana huku mtaani wanchama wenu wa ccm na chadema tunapendana
  15. D

    Utafiti unaonyesha kuwa kura ya wazi inachukua muda mrefu

    Utafiti uliyofanya na wananchi wa tanzania unaonyesha kuwa kura ya wazi inachukua muda mrefu sana wa bunge malumu na hiyo ni njanja ya mcc kuongezewa posho
  16. D

    Muondo wa mungano utawatoa wabunge roho

    Bunge malumu la katiba leo limeendelea mjini dodoma huku kukiwa na mvutano mkali katika muondo wa mungano
Back
Top Bottom