Search results

  1. D

    Maskini Tanzania!

    Kweli Watanzania itatuchukua muda kupiga hatua ya maendeleo. Tumekuwa wanafiki lakini mioyoni ndani tunaongea kitu kingine. issue ya udini na ukabila vinatumaliza. tutaendelea kukosa watu wazuri wa kutuongoza kwa sababu zisizo na misingi.
  2. D

    Mkuu wa Majeshi, Davis Mwamunyange kuwasili nchini 16th Oct, baada ya ziara nje ya nchi

    Poleni wadau.....cjui mipaka yetu wananchi..lakini naamini mpaka fununu za hivyo kutokea kuna kitu kinaweza kuwa c sawa. Time will tell. Tuendelee kuombea nchi yetu wakati huu wa uchaguzi. Wote waliopewa majukumu ya kusimamia uchaguzi wawe na hofu ya Mungu...maana kuna maisha baada ya...
  3. D

    TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

    Poleni wafiwa wote...tunaweza kusema mengi ila yote anajua Mungu. Najua tuna tofauti ya itikadi za vyama lkn vitabu vitakatifu vinatuonya kuhusu ndimi zetu. Naamini wapo wengi wanaitakia Tanzania mema tuendelee kumuomba Mungu, tutimize haki yetu kikatiba ck ya tarehe 25. Lakini cha muhimu...
  4. D

    TANZIA Waziri wa Fedha, Dkt. Willliam Mgimwa afariki dunia!

    Wewe mtu unayejiita Ndyali una roho mbaya na sijui sura yako inafananaje? Huoni hata aibu?? Nahisi wewe ni muuaji. Mungu akurehemu maana biblia inasema lieni na wanaolia kwa hiyo umefurahi kwa Mgimwa kufa??? tembea nchi za watu uone hata ukinunua pipi lazima upewe receipt. Wewe ni mjinga...
  5. D

    Kijana anusurika kuuawa baada ya kunaswa akimbaka binti wa miaka 10 mkoani iringa...!!

    usipende ku generaliza issue wewe una maana watu wote wa iringa wana laana, wewe mungu unayetoa laana? huna maana kabisa
  6. D

    Matumizi sahihi ya Dabo indiketa, gia L,2,3 na O/D katika gari za Automatic

    Asante kwa somo , ila sijui sijakuelewa vizuri, ina maana 2,3 na L zote zinafanya kazi moja? najua mojawapo ni kama unapita sehemu ambayo kuna utelezi, nyingine kwenye mteremko n.k naomba ufafanuzi tafadhali
  7. D

    TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

    Kumbe na we umo?jamani so sad kiko nje ya uwezo wetu
  8. D

    TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

    Saints hawawezi kutoa comment kama hizo labda wewe ni saint wa upande........
  9. D

    TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

    I Ni kweli jamaa ana uhakika gani kama lowasa amemuua? Mbona dhambi zingine tunajitakia? Maana kila unachoongea utakitolea hesabu
  10. D

    Picha: Wengi wajitokeza kuuaga mwili wa kamanda Liberatus Barlow leo Nyamagana

    Una uhakika alikuwa ni mke wa mtu, biblia inasema usihukumu usije ukahukumiwa. Ulikuwepo huko mwanza?? Acha unafiki wewe, hope ya kwako yamekushinda if you don't have a true source of information it is better to keep quite
  11. D

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    mnahangaika kweli watanzania, jakaya alipendwa kwelikweli sasa hatujui kama hawas mnaowapendekezsa watakuwa wazuri. ila mungu ndiye ajuaye, ombeni mtapewas msibaki kuongea tu. good luck 2015
  12. D

    Migiro leaves UN post; forced out or chose to leave?

    Jamani msipende sana kusema mambo ya watu, hapo ulipo wewe una uzuri gani?? what is chadema by the way?? mmewapa madaraka mkaona kuwa wanafaa?? watanzania acheni hila. Hila ndio zitatufanya tuwe maskini na wapumbavu milele. period
  13. D

    Tetesi madaktari kuzimua mgomo wao

    Ni kweli kuwa mishahara ya wafanyakazi walio wengi ni midogo sana kumudu mahitaji muhimu ya binadamu. Lakini tuangalie chanzo ni nini? how can we move forward? je kulalamika kwenye mitandao is a solution? kwa nini tusiombe jukwaa tukayazungumza wakiwepo watendaji wakuu wa serikali? tujaribu...
  14. D

    Tundu Lissu ataja wabunge wanaotuhumiwa kwa rushwa, Zitto si mmojawapo

    Kila mtu ana uhuru wa kuongea. Tundu lissu kuwataja anaweza kuwa na udhibitisho au la. Lakini uzuri wa Tundu Lissu ni kwamba amesema yeyote anayesingiziwa akanushe. Hivyo kama kuna mtu mwingine ana udhibitisho anaweza kuita press conference pia. Kuna ubadhirifu mkubwa wa fedha za umma lakini...
  15. D

    Elections 2010 CONFIRMED: Dodoma mjini CCM washinda kwa kishindo!!

    This is blog and is used by all people civilized and non civilized people like u, how comes u call wagogo wapumbavu?? i think everybody has the right to vote so u " be careful don't use abusive language"
  16. D

    Hatimaye Masauni - UvCCM Ang'atuka

    nakupa pole sana kwa sababu humjui huyo mtu unayemtetea ana uozo mara mia ya masauni sema upewe data na si kuongea tu, tunajua ya chunguni
  17. D

    Wanaume kupika na kupakua ni ushamba jamani??

    hakuna kazi ya mwanamke wala mwanaume. biblia ilisema adamu atakula kwa jasho kuna wanawake wangapi leo ni bread winners? na wewe unayepika wakati wageni hawapo unaficha nini? ushamba tu na kutoendelea
  18. D

    Ewura grants firms licences to generate, supply power

    ni hatua nzuri kwa kuwa tanzania tuko nyuma sana wenzetu wako mbali maana infrastructure nyingi ni private owned na hii itasaidia kuondoa monopoly wa taanesco. good progress lakini nina wasiwasi na hiyo exemption????
  19. D

    Mzee wa upako

    achana na hizo wewe? anayehukumu ni mungu
  20. D

    Kwa wanaume tu!

    na hao wanaume wanasubiri wake zao wawanyoe hawana akili kabisa ungesubiri utawazwe pia. wanawake wana vitu vingapi vya kufanya? akipata nafasi its okay lakini sio kila kitu umwachie.
Back
Top Bottom