Search results

  1. I

    Natafuta proposal

    Wana jamvi naomba msaada kwa mwenye research proposal juu ya mambo ya marketing anisaidie tunaweza kuongea pia jinsi ya kucompasate???
  2. I

    Hakuna sikukuu?

    Waungwana nilikua nawaza kwa mfano siku ya leo ya pasaka nyumba nyingi zimepikwa pilau sasa swali hivi hakuna sikukuu bila kuliwa pila???
  3. I

    Ni kweli Diamond anashuka?

    Jamani wadau nataka kufahamu hivi ni kweli dogo diamond anashuka umaarufu na kimziki i heard some people say so na wamenikera coz namkubali sna dgo na namuombea sana asonge mbele.ila hawa wadau wananikwaza je ni kweli dgo ana drop?
  4. I

    Hivi kweli wako serious na katiba

    Jamani wana JF naomba mnisaidie hivi kweli hawa wenzetu huko bungeni wako serious na kupata katiba mpya kwani mpaka sasa ni mabishano tu utadhani kuna wahuni kumbe ni watu wazima wenye busara but I HATE WHAT THEY ARE DOING kwani hela za walipa kodi zinateketea wao warumbana<mnalionaje hili...
  5. I

    Wanaume wachache

    Jamani wadau hivi ni kweli wamanume tumekuwa wachache kuliko wanawake kiasi kwamba wanawake wanakosa watu wa kuwa nao?
  6. I

    Mapenzi ya sasa

    Jameni waungwana nimekua nashindwa kutengenanisha hasa juu ya mapenzi ya sasa i would like suggestion.JE MAPENZI YA SASA HUA YANAANZA MAPENZI NDIO PESA IFUATE AU INAANZA PESA NDIO MAPENZI YAFUATE? I am confused
Back
Top Bottom