Search results

  1. kizomanizo

    Watoa huduma ya internet ya fiber Sinza

    Nadhani sisi tunaohitaji huduma hizi kwa huku Sinza idadi yetu ni 'negligible', nimeongea sana na GO na wale ZUKU wanasema hawapo wala hawajui lini watakuwepo, ila wanasema wakiwepo watanifahamisha, mwaka wa nne huu sasa. Hata ukiangalia kasi ya internet ya Vodacom maeneo haya, nadhani tunatumia...
  2. kizomanizo

    Tubadilishane nyimbo za Congo (Zaire)

    Huo ni wimbo wa Koffi Olomide wa mwaka 1998 ama 1999 unaitwa Droit de Veto (ni kifaransa cha kura ya VETO).
  3. kizomanizo

    Tanzania mentors action(tma) wanalipaje?

    Wakikuita kazini kimbia haraka wahi, wako vizuri sana tu!
  4. kizomanizo

    Tubadilishane nyimbo za Congo (Zaire)

    jaribu kuusikiliza No Comment Shengen uone kama ndiowenyewe, malee malee malee(Malee)
  5. kizomanizo

    Tubadilishane nyimbo za Congo (Zaire)

    Unaitwa Rail On ni wa Papa Wemba, tafuta Youtube uusikize au download ukiweza.
  6. kizomanizo

    Kwanini maprofesa wetu huendelea kujiita Profesa hata baada ya kuondoka vyuoni?

    Nimekuwa nikijiuliza sana, mbona Tanzania tuna maprofesa wengi sana nje ya vyuo? Nadhani mfumo wetu ni tofauti, kwingine Dr yeyote akifundisha chuo ni profesa, hapa nadhani kuwa prof ni ngazi moja juu ya daktari.
  7. kizomanizo

    Nyimbo za Wana Ikibinda Nkoi

    Nenda posti namba #39 utauona. Huu Hapa
  8. kizomanizo

    Nyimbo za Wana Ikibinda Nkoi

    Nenda ukurasa wa pili wa uzi huu, kuna mdau ameshautuma.
  9. kizomanizo

    Nyimbo za Wana Ikibinda Nkoi

    Kwa kusema kweli sio miiimi, sio sio sio miiimi... Elystone Angai, le pharao, gita gita gita....
  10. kizomanizo

    Nyimbo za Wana Ikibinda Nkoi

    Mkuu umetisha sana, napenda jinsi ambavyo huu uzi unapita mwaka mzima ila wakubwa wanakuja kukupa wimbo. Tuendelee na kazi. Ahsante
  11. kizomanizo

    Nyimbo za Wana Ikibinda Nkoi

    Mkuu umetisha sana, napenda jinsi ambavyo huu uzi unapita mwaka mzima ila wakubwa wanakuja kukupa wimbo. Tuendelee na kazi. Ahsante
  12. kizomanizo

    Tujikuumbushe nyimbo ya mwambao za kitambo

    Japo thread ni ya kitambo: 1- Bi Malika - Staki Staki 2- Bi Malika - Wape Wape(Huu yeye na mwanahela mmoja aliurudia wa mwenzake) 3- Mwanahela(Golden Stars wa Tanga) - Rabbi Sinipe Mapenzi 4- Golden Stars - Piga Parapanda (ule mimi mwenyewe kwenda, mimi kwenda sokoni, kununua kabichi bidhaa...
  13. kizomanizo

    Tujikuumbushe nyimbo ya mwambao za kitambo

    - Amemshirikisha Seif Kisauji huyu Kisauji ndio alokuwa na ile bendi ya Tanga ta Taarab inaitwa Babloom Modern.
  14. kizomanizo

    Nyimbo za Wana Ikibinda Nkoi

    Kama kuna mwenye huo wa Valentine Day na Jetou atushirikishe pia! Za kitambo ninazo nyingi sana, nimeweka kwenye public folder la Dropbox nitaziongeza kadiri ninavyopata muda.
  15. kizomanizo

    Nyimbo za Wana Ikibinda Nkoi

    Haya, nimeiupload sehemu nyingine (4shared) na nimeweka na ule wa 'Kimalumalu' kama bonus! Bado mmoja wa FM Musica unaitwa Hadija sijaupata. Neema Kimalumalu
  16. kizomanizo

    Nyimbo za Wana Ikibinda Nkoi

    Install download manager nzuri kwenye kompyuta yako. Jaribu Internet Download Manager ama browser extension kwenye Chrome na Firefox inaitwa GetThemAll.
  17. kizomanizo

    yupo wapi Alan mulumba wa diamond musica

    Hayo maneno nimeandika ninavyosikia, sijui kama anatamka hivyo!
  18. kizomanizo

    yupo wapi Alan mulumba wa diamond musica

    Kimalumalu ezanga mbwila ye kumang'ana Silent-ine, kende kotala motema na ngai, mwana daimondo Kimalumalu ezanga mbwila ye kumang'ana Silent-ine, kende kotala motema na ngai, wana daimondo Daladala shingi mia tu, kumang'ana silent-ine na kende kotala motema na ngai, wana daimondo Huyo alikuwa...
  19. kizomanizo

    Nyimbo za Wana Ikibinda Nkoi

    Wakuu baada ya kadiri ya mwaka mzima baada ya kumshirikisha mdau wa Diaspora sasa nimezipata nyimbo kadhaa ikiwemo Neema. Hapa natumia iPhone kujibu, kesho nitaiweka hapa na nitakuwa naweka kwenye thread hii hii kadiri ya ninavyozipata. UPDATE: Kamanilivyoahidi hapo jana; huu hapa wimbo wa...
Back
Top Bottom