Peter Jaluo,
Mungu atusaidie.
Ila huwa natafakari Sodoma na Gomora huwa naona hatujafikia kiwango hicho. Jamani Sodoma na Gomora ilikuwa stage nyingine..
Angalia kipande hiki cha kisa cha Sodoma na Gomora:
"Hata kabla hawajalala, watu wa mji, wenyeji wa Sodoma, wakaizunguka nyumba, vijana kwa...
Njano5,
Inanisikitisha sana muda mnaoutumia kushabikia migogoro ndani ya chama. Muda huo mngeutumia kujenga ingekua ni faida zaidi kuliko mnavyoboa kama sasa. Mambo yanayotutenganisha si ya msingi na ni machache kuliko yanayotuunganisha.
Zanzibar kuna aina fulani ya umoja ktk kushughulikia mambo ya kijamii. Ndo maana hata imekuwa rahisi kuwakamata watuhumiwa wengine ktk sakata hili.
Watanganyika nasi inabidi tujifunze kwa wenzetu.
Ukiacha hayo, mifumo yetu ya ulinzi na usalama kwa namna fulani inanuka uvundo ktk nyakati hizi...
Pasco
Chadema hakuna mgogoro.
Kama mtu kishavuliwa uanachama mgogoro unatoka wapi? Umeisahau mkuu post yako:?
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/581011-kutokana-na-maelezo-ya-lissu-zitto-zuberi-kabwe-ameishavuliwa-rasmi-uanachama-chadema.html
Haipingiki Habari ya 4. "Kifo cha aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini hayati Nelson Mandela" ndo habari kubwa kuliko zote kwa mwaka 2013.
- Historia yake ilifanya kila mwanadamu hata wasiopenda siasa kukaa chini kufuatilia simulizi zake wakati wa maombolezo hadi maziko yake. Mtoto kwa Mkubwa!
Kwanza poleni sana makamanda. Inasikitisha sana. Mungu mwaminifu.
Ifike sasa mwisho polisi watambue wajibu wao. Wafike mahali waseme wametumika vya kutosha. Muda mzuri sasa polisi kuwatumia watanzania wanyonge na si kuwanyonga watanzania. Na polisi msipofanya hivyo maisha yenu yataendelea kuwa...
Tehe tehe, Wahuni tu hao wasikupotezee muda hata kidogo.
"hello i like us to communicate as you reply to my mail,(anna_sky40@yahoo.com),hope to hear from you soon i will reply with more about me.with love Anna"
"
Hi
I saw your profile i pick interest on it and if you don't mind i will like...
Tunapaswa tuombee amani ya nchi yetu. Muendelezo wa mauaji na uonevu wa raia unaotokea Arusha pasipo kujali chama kwa kweli haikubaliki. Mungu tuepushe na huu udhalimu. Mungu walaze mahala pema wote walofariki.
Ofisi ya Taifa ya Takwimu imezindua matokeo ya Sensa ya Idadi ya Watu kwa Ngazi za Utawala (Population Distribution by Administrative Units) ambayo yamezinduliwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Mizengo Pinda katika Hoteli ya Kilimanjaro. Matokeo hayo yanaonyesha kuwa Mkoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.