Search results

  1. Z

    Masters of sc. in mathematics

    Et wana jf mbali na udsm, chuo gan hapa bongo wanatoa masters ya hesabu? Maana nataman nkasome hesabu maana naona weng wanakimbia na naipenda
  2. Z

    KITUO cha Taarifa kwa Wananchi (TCIB) kimemshitaki Rais Jakaya Kikwete The HAGUE

    kibamba umemuona kikwete yuleeeee! hivi huyo kibamba alimuulza kikwete kuwa alikuwa anamaanisha nini? wengi mbona wanatoa kauli za namna hyo au znazoendana na hyo. vp wanaosema hapatakalika .......
  3. Z

    Kwa Uamuzi Huu wa CCM!, CCM Sasa ni Chama Cha Hovyo Hovyo!. Kukitegemea 2015 ni Majanga!.

    Mleta maada hivi unajua sheria na katiba ya chama cha mapinduzi(CCM)? kwa sababu hujui ndo maana umeandika hayo unayowaza, unajua nn maana ya chama cha siasa? nadhani umesahau kuwa kila chama kna mwenendo wake na lengo kuu la kila chama ni kushika dola na si kila lengo la mwanachama ni kushika...
  4. Z

    Kwa hili Udom panatisha

    hvyo vitu vnaenda pamoja. din na elimu vyote ni vya muhimu, kama kweli tume hyo aliyoisema huyo bwana ina watu hao tisa kat ya kum. Huo sio uwiano mzuri, lakn nna wasiwasi na uongoz wa chuo hcho, ikiwa n pamoja na ule wa juu, kuwa hauna maamuzi pambanuzi. Ikumaukwe kuwa siasa safi na ya...
Back
Top Bottom