Search results

  1. American lady

    Maulidi Kitenge anaponyoa kihuni

    NA KWELI KABISA HATA MM HUWA NAMCHUKULIA BORA YA MTOTO KULIKO MAULID MANAKE HT UKIINGIA KWENYE FACEBOOK AKILI ZAKE ZA KITOTO TUPU KAZI KUJISIFIA MAMBO YA KIJINGA DUH, BASI SASA ASIPIGE PICHA NA KIONGOZI YEYETO au MTOTO WA KIONGOZI NI BALAA ATAMWELEZEA ILE MBAYA UKIJA KWENYE FAMILIA UTASIKIA MARA...
  2. American lady

    Mama Kahaba!!!!!

    Mpeleke kwenye maombi ndugu ht km umefanikiwa kwa kazi yake, hapana ukahaba ht biblia inakataza yawezekana ana pepo la ngono.Na mm nitamwombea pia.
  3. American lady

    Mie nahisi mungu hapendi wanawake......

    Mmmmmh! si kweli mungu anatupenda sana tena sana.Tena namshukuru mungu kwa kunifanya mm mwanamke.Mungu zidi kuongeza wanawake wengi duniania.
  4. American lady

    Kila kitu kwahisani ya Marekani!

    Hakuna shida kama serikali inapenda kusaidiwa mpk makalio Marekani fanyeni mambo.Kila kitu si tanzania inataka mteremko??? Wamarekani ni macreative na macritical thinker ndiyo maana sasa kama serikali ya kibongo ya kugushi vyeti acha itafuniwe Bwana. Hahahahahahahahahaha!
  5. American lady

    Msaada kwenye itv online (itv online password)

    Hey! habari zenu wapenzi wa Jf? nashukuru sana kwa aliyetujulisha kuwa tunaweza kutumia Itv online tuliyopo nje ya nchi, asanteni sn maana mm binafsi sikujua. Sasa ninaomba msaada kidogo mbona nimefuata process zote na kweli nilifanikiwa kuangalia siku 1 tu.sasa hivi nikifungua inataka password...
  6. American lady

    Changia CCM

    Tuchangieni tu hakuna neno mabadilko yatakuja automatically wala msijali safari hii tutafanya changes za nguvu wananchi wangu.!!!
  7. American lady

    Kuna Haja Gani Ya Mtu Kudanganya Umri?

    unadanganya umri hlf baada ya mwaka uso wote umekunjamana uzee,memory imepotea shida tupu.jamani tuwe wa kweli.
  8. American lady

    SIMU SlMU SIMU SIMU

    Lakini pia hata hivyo km wewe na mkeo ni mwili mmoja wasiwasi wa nn?basi km hutaki mawasiliano ukiwa home usingenunua mobile tumia ya kazini kwako maana unakuwa huru zaidi ukiwa nje ya nyumba yako zaidi ya ukiwa kwako.Huo sio uungwana inaonyesha hujiamini ktk mambo yako
  9. American lady

    Mzungu na mswahili huyu wanafanya nini?

    Wanafanya Adult activities.
  10. American lady

    hivi wanalazimishwa?

    Na ndoo nyeusi ya maji pembeni si unaona imeshaletwa fasta fasta mheshimiwa akimaliza atuachie vumbi letu kabla halijampa allergi mikono yake?????
  11. American lady

    Shukrani zangu

    Napenda kuwashukuruni sn JF the home great thinker, my Husband,Sketchers company,my beloved family in Tz,all friends from facebook and all my friends wherever you are in and outside the country kwa salamu nyingi na nzuri za my Birthday.Salamu zangu za pekee ziwafikie marafiki zangu wa karibu...
  12. American lady

    Ati Wachagga hawajui mapenzi?

    Hawajui ndiyo!!!!!!! wewe unayejiita mama mia unayajua mapenzi? wewe mwenyewe uajionyesha ni jinsi gan hujui sasa unatafuta msaada kistaili kwanza huna jipya kl siku hoja zako zina utata.we lea wanao home waachie wenye fani zao wapete mzee
  13. American lady

    Moment of shame...

    Yaani jamani nyie hii picha mnakiuka kbs sheria kuitundika hapa hivi hamjisikii vibaya hata kuimulika du hatari tupu.ilijichotea mibilions kula ovyo mwili umepanuka kila mahali mpaka PUA kubwa mfereji una afadhali.unapata uongozi kujitengenezea mipresha ya nini?yaani hawa mungu atawabariki
  14. American lady

    Njia moja ya kumsaidia Mh. Kikwete

    Na ss wenyewe tujitahidi kuomba ili apate ule mwamko wa yeye au msukumo wa maombi.Maana bila hivyo ni bure maana nafikiri watakuwa wanafuata ya shehe Yahya kwamba mtu asimpinge kikwete km yy ndo mungu.hewa tu hiyo kikwete aongee na mungu wake yahya ndo nn hiyo?
  15. American lady

    Why Catholic seminaries excel in exams

    Thats true wala hutanii
  16. American lady

    Why Catholic seminaries excel in exams

    omega pamoja na yote uliyotaja ni sawa yanachangia ila mwenzangu na jinsi mtoto anavyojituma.wengine wanajifanya wapo updated akifika shule km ni hostel anajifanya hajui kilichompeleke matokeo yake anatuletea yai.
  17. American lady

    Why Catholic seminaries excel in exams

    Plus excessive prayers
  18. American lady

    Dar yote Umeme umekatika

    jamani tusimuuzi mama mdogo na sikukuu za ccm unamwona alivyoshtuka?
Back
Top Bottom