Ebwana kweli hiyo haijakaa vizuri. kwa ufupi si tumajua kwamba clouds ni redio ya wajanjawajanja sijui kama hata wanajua kitu kinaitwa media ethics. Ijumaa saa kumi jioni muda wa habari wamepiga sigtune ya habari lakini mara tukaanza kusikia matangazo, no habari no apology..hiyo ni redio kwewli ??
Nakubaliana na wewe kabisa nchi hii iko kwenye autopilot the so called president yuko bize sana na safari It seems anapenda sana kukaa nje ya nchi kwa nini tusimteue awe balozi wa maisha wa Amerika na Ulaya ?
Wahusika waangalie kama kweli neno hilo ni matusi walishughulikie haraka iwezekanavyo haifai umekaa na mtu mzima wa maana alafu unasikia matusoi hewani. sio ethics hizo wazee !
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.