Search results

  1. Smiller

    Nimepoteza Samsung s3 asubuhi hii

    Wakuu za Asubuhi? Nimepoteza simu yangu asubuhi hii. Msaada tafadhali !! Siku download app secure yoyote. Nikipiga haipatikani tena. Je naweza ipata kweli?
  2. Smiller

    Detecting someone's Location

    Wakuu Salam kwenu Kwa anae fahamu! msaada tafadhali nataka kujua jinsi ya kujua Location ya mtu ambae nina number yake bila ridhaa yake Kwa kifupi tu nikuwa nahisi Demu wangu yupo MCHEPUKONI kisiri !! Kwa ufupi Nawakilisha.
  3. Smiller

    Naitaji Router

    Msaada wapi naweza pata Router ya 3G kwa bei nzuri kkoo! Naomba anijuze tafadhali (dukani) Asanteni.
  4. Smiller

    T.I.D akinukisha kwa RAY C @instagram

  5. Smiller

    Nitaitambuaje chaji ya Iphone ambayo ni orijinal?

    Msaada jamani maana kila chaji ninayo nunua haimalizi mwezi inakufa!! Wakunijuza tafadhali nawapi zinapatikana
  6. Smiller

    Mgeni mimi jamani huyu mpokeeni basi wapendwa......AssalmAleykum/ Yesu asifiwe sana

    Nikiwa kama mwana jamii naomba kutoa hoja
Back
Top Bottom