Search results

  1. B

    Ajali Ruvuma: Basi la kampuni ya New Force limepata ajali na kuua wawili

    sasa hapa feo anahusika na nn wakati lililoanguka ni newforce na feo ndo waliowasaidia hao majeruhi
  2. B

    Wanaharakati walalamikia vurugu za mchina Songea

    sumatra ndio wapanga ratiba wanajua kila kitu mjomba na ukumbuke newforce alikuja kuuza magari na spea kwa wazawa c kusafirisha abiria
  3. B

    Wanaharakati walalamikia vurugu za mchina Songea

    sumtra ndio wapanga ratiba wanajua kila kitu
  4. B

    Wanaharakati walalamikia vurugu za mchina Songea

    sumatra wana majibu yote wao ndio wapanga hizo taratibu
  5. B

    Wanaharakati walalamikia vurugu za mchina Songea

    NINACHOKIJUA MIMI TOKA NDANI KABISA YA HUU UGOMVI ni kwamba super feo ana time table ya saa 6:00am na 6:10am kutoka songea na gari zake zote za dsm zipo ndani ya muda huo wakati huo huo mbeya na iringa na dom ana gari za saa 6:00am na 6:20am katika hali hii super feo inabidi atoke saa kwanza...
  6. B

    Kuna tofauti gani kati ya haya mabasi ya kichina yutong na zhong tong

    KUNA TOFAUTI GANI KATI YA HAYA MABASI YA KICHINA ZHONGTONG NA YUTONG MAANA NAONA KAMA SOKO LA YUTONG LINAPOTEA TARATIBU YUTONG ZHONG TONG
  7. B

    Onyo: Wafanyakazi wa mabasi ya Superfeo

    pole mdau tunafanyia kazi malalamiko yako.
  8. B

    Onyo: Wafanyakazi wa mabasi ya Superfeo

    tunalifanyia kazi ilo mkuu.
  9. B

    Onyo: Wafanyakazi wa mabasi ya Superfeo

    nashukuru mdau najitahidi kumjibu kila mtu sababu ni sehemu ya jukumu langu as pr zen matangazo yaliyopo hapa ofcn songea tumeweka ili kuondoa usumbufu asubuhi kwakua huu ni msimu wa mavuno na tumekuwa idadi kubwa ya mizigo inayokuja asbh wakat gari zinakua zmeshajaa na matokeo yake utaambiwa...
  10. B

    Onyo: Wafanyakazi wa mabasi ya Superfeo

    walinzi tunao mkuu baada ya hili kutokea tulitaka kuweka ulinzi zaidi kwa kuweka uzio kwenye eneo letu tukapewa barua kuwa mwezi wa nane tunatakiwa kuhama kwenda msamala tunashukuru kwa maoni yako mkuu tunafanyia kazi ili hili lisijitokeze tena.
  11. B

    Onyo: Wafanyakazi wa mabasi ya Superfeo

    tunajaribu kujibu kero ya kila mmoja ili twende sawa shukran mdau
  12. B

    Onyo: Wafanyakazi wa mabasi ya Superfeo

    jaribu kutembelea stend ya mabasi songea pindi basi za dsm zinapoingia ucku utajua jinsi hali ya ulinzi inavyokua ngumu kutona na mazingira ya stendi yenyewe yalivyo.
  13. B

    Onyo: Wafanyakazi wa mabasi ya Superfeo

    ndugu cjajua unazungumzia gari zp znapoingia za mby na iringa au dsm ila kama ni za dsm huwa hatutoi mzigo ucku na kuna tangazo la kuonesha muda wa mwisho kuchukua mzigo ktk ofic zetu na gari za dsm zinapoingia usitegemee kondakta atakupa mzigo hata kama upo hii inatokana na taratibu zetu mpaka...
  14. B

    Onyo: Wafanyakazi wa mabasi ya Superfeo

    czan kama anahusika ktk kampuni hii hizo ni fununu tu ambazo hazna ukwel
  15. B

    Onyo: Wafanyakazi wa mabasi ya Superfeo

    anae toa majibu ya kejel haucki na kampuni ya super feo yeye ni mdau wetu tu kama una kero au maoni juu ya kampuni yetu tafadhari piga cmu hizi 0754 651960,0658 228384,0784 350523 na 0755 198935.
  16. B

    Onyo: Wafanyakazi wa mabasi ya Superfeo

    tshirt hazikupotezwa ziliibwa baada ya kutokea ugomvi baina ya abiria wetu wakat wa kushusha mizigo wakat kondakta amepeleka mawazo yake kwenye ugonvi alikua kashafungua buti vibaka wakaiba box lilikua na tsht na kondakta aliwajibishwa kwa uzembe na akalipa tsht kwa tarehe iliyopangwa jaman cc...
  17. B

    Onyo: Wafanyakazi wa mabasi ya Superfeo

    kiongozi huyu anaetukana ni mdau tu wa super feo na sisi binafsi hatuelew kwann anatumia lugha kali kiasi hicho cc binafsi hatuwez kufanya haya tumsamehe yy c sehemu ya super feo asichukuliwe kama ni sehemu ya majibu ya jampuni ya super feo
  18. B

    Onyo: Wafanyakazi wa mabasi ya Superfeo

    hatuna ofisi ya pacel UBT kama ulituma ubungo kwa jina la super feo uliingia mikononi mwa wajanja ofisi za super feo za pacel zipo kariakoo.
  19. B

    Onyo: Wafanyakazi wa mabasi ya Superfeo

    sizani kama uyo mama anahusika na kampuni hii ya mabasi tembelea ofisi kwetu tukusibitishie hilo.
  20. B

    Onyo: Wafanyakazi wa mabasi ya Superfeo

    wadau maoni yenu tumeyapokea ila tumesikitishwa na lugha zinazotumika na wadau wetu tumewahi kupokea malalamiko ya mizigo kwakua super feo ni kampuni kubwa lazima vitu kama hivi vitokee mara moja moja eiza kwa uzembe au bahati mbaya but kwa kesi nyingi huwa zinakua solved ila kuna nyingne huwa...
Back
Top Bottom