Search results

  1. L

    TARURA wilaya ya Ubungo mmesinzia!

    Kulikoni TARURA WILAYA mpya ya ubungo mbona mmesinzia?! Tangu billion 14 zilipo tolewa kwa wakandarasi Kwa ajili ya kuanza kazi ya ujenzi wa barabara ZA mitaa, wananchi wanaona kimya kimetanda! Kulikoni! Maeneo ya pembezoni mwa mji kama vile maeneo ya Kiluvya POLISI GOGONI hadi HONDOGO...
  2. L

    Tahadhari: Msilipue ujenzi wa Stendi Kuu ya Mabasi Mbezi Louis

    Baada ya muda mliopewa kwisha jana tarehe 30/11/2020, na ujenzi kutokukamilika bado unaendelea japo kuwa nje ya agizo la Mh. Rais. Ushauri wangu ni kuwa msilipue kazi bora kuomba muongezwe muda kuliko ku-force halafu mwishowe mkaharibu au ubora ukapotea. Hiyo ni stendi ya kimataifa ni sawa tu...
  3. L

    Mbuge Kibamba Issa Mtemvu anza na changamoto hizi

    Mh. Mbunge Issa Mtemvu kwanza nakupa pongezi kwa kushinda jimbo hili la kibamba hakika unastahili. Wananchi wa maeneo ya Kiluvya Gogoni/Hondogo wanakuomba uanze kushughulikia changamoto zifuatazo: 1. Barabara za mitaani zianze kujengwa Kwa kiwango cha lami kupitia mradi wa DMDP, wananchi...
  4. L

    Ubunge na u-RC, u-DC au DED kipi zaidi?

    Kufuatia kauli ya mhe. Rais Magufuli kuwa kuna baadhi ya viongozi wana tamaa ya kuto kuridhika na walicho nacho haswa ma RC, DC Na ma DED kutaka nyadhifa ZA juu zaidi ni fundisho tosha Kwa walio sikua, kweli hata mimi nasema hiyo ni tamaa na siku zote mtaka yote hukosa yote. Kuna watanzania...
  5. L

    Wabunge wa zamani kupotea 2020

    Natamani sana wabunge wa zamani katika majimbo mbalimbali nchini wasiteuliwe na vyama vyao kugombea au kama watateuliwa basi wasichaguliwe. Natamani kuona sura mpya wengi wao wawe vijana wenye uwezo wa kushughulikia kero za wananchi. Chama kitakacho teua vijana kugombea ubunge basi kina nafasi...
  6. L

    Maadili ya Watanzania yanazidi kuporomoka kwa kasi

    Kumekuwa na wimbi kubwa la kuporomoka kwa maadili kwa baadhi ya watanzania haswa vijana wa kiume na wasichana hali ni mbaya sana!!! Kwa hali ilipofikia kuna haja ya maaskofu, mashehe, wazazi na wapenda maadili kukemea tabia zinazofanywa na vijana wetu, haswa kufanya mapenzi kinyume na maumbile...
  7. L

    Hivi ni kweli viongozi wa mkoa wa DSM wamegomea maendeleo?

    Kufuatia kauli ya mh. Jafo kutishia kuzichukua billion 50 ZA ujenzi wa stendi ya kisasa Mbezi mwisho/luguruni na pia ameeahidi kunyang'anya fedha ZA ujenzi wa Hospitali ktk kila halmashauri ZA Wilaya mkoa wa DSM, kauli hizo ZA mh WAZIRI Imenifanya nitafakari sana na kujiuliza maswali kadhaa, Je...
  8. L

    Happy Birthday Tanzania 57 yrs !!!!

    Nchi yangu Tanzania imezaliwa siku kama ya leo 9/12/1961 na leo imetimiza umri wa miaka 57 hongera sana Tanzania hongera nchi yangu.
  9. L

    Maandalizi ya Ujenzi wa njia sita kimara-kibaha waiva

    Kwamujibu wa picha iliyo pigwa kutokea angani kwa hisani ya Ikulu na kurushwa na kituo cha TBC inaonekana maandalizi ya kuanza ujenzi yamekamila. Ni kweli usio pingika kuwa baraba hii ni muhimu sana kwa uchumi wa nchi yetu lkn pia ni taswira/kioo cha Jiji la DSM haswa kwa kuzingatia kuwa matifa...
  10. L

    PSSF wakomboeni wanachama wenu kiuchumi

    Pamoja na maboresho ya sheria iliyo pita hivi karibuni, lkn mfuko huu bado una dhima ya kuwakomboa wanachama wake Kwa kutoa mikopo ya fedha taslim ya kufanyia biashara n.k ili waweze kujikomboa kiuchumi,
  11. L

    DMDP, tarura hatuwaoni pembezoni mwa Jiji la DSM.

    Kama mada inavyo jieleza hapo juu, bilashaka kazi za vyombo hivyo TARURA NA DMDP zinafahamika, miongoni mwa majukumu yao muhimu ni kutatua kero za barabara za mitaani ktk Jiji la Dsm, nimefanya utafiti mdogo sana kuna baadhi ya maeneo ya pembezoni mwa Jiji la DSM hayajanufaika hata kwa asilimia...
  12. L

    Majonzi na simanzi kubwa kwa watanzania wote

    Ama kweli ni huzuni na majonzi makubwa kuwapoteza watanzania wengi kiasi hiki kwa wakati mmoja, ni pigo kubwa kwa taifa letu. Inauma sana inasikitisha sana. Mungu awapokea Kwa amani
  13. L

    Tamasha la urithi jijini Dodoma

    Leo tarehe 15/9/2018, kuna tamasha la urithi linazinduliwa na Makamu wa Rais wa Tanzania, lengo la tamasha ni kuenzi na kufumisha utamaduni wetu. Mila na desturi ni kielelezo chetu sisi watanzania. Jambo lanalo nishangaza ni kuona nafasi ya lugha yetu ya Kiswahili kuto kuthaminiwa na...
  14. L

    DMDP-Mmeisahau Wilaya ya Ubungo

    Kama kichwa Cha habari kinavyo jieleza, DMDP ktk miradi yenu inayo endelea ktk jiji la DSM mmesahau manispaa mpya ya ubungo na hasa ktk maeneo ya kata ya Kiluvya gogoni barabara ni mbovu sana, tunawaomba mtende haki ktk kutatua kero za barabra, mnaonyesha upendeleo ktk maeneo mengine na...
  15. L

    Mhandisi wa Jiji DSM fanya upembuzi yakinifu.

    Kufuatia adha, kero na usumbufu mkubwa uliopo ktk kituo cha sasa ktk stendi ya mabasi ubungo. Wiki mmoja iliyopita nilimsikia mhandisi wa Jiji la Dsm akizungumzia juu ya ujenzi wa kituo cha mabasi ya mikoani ktk eneo la Mbezi luis, ktk mazungumzo yake ni wazi kabisa mhandisi huyo alionyesha...
  16. L

    Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, tunataka Ubungo mpyaa!!!

    Mhe. Mkuu wa Wilaya mpya ya ubungo unakazi kubwa pamoja na wananchi wako katika kuijenga Wilaya mpya! Katika Wilaya zote tano za mkoa wa Dsm nadhani Wilaya ya ubungo inaonekana kuwa nyuma kimaendeleo ukilinganisha na Wilaya zingine!!! 1. Fursa zilizopo ktk Wilaya bado hazijatangazwa...
  17. L

    RC Makonda kujenga mahakama 20

    Serikali ya mkoa wa DSM kujenga Mahakama za mwanzo zipatazo 20 katika mkoa wa DSM. Hongera sana! Hatua hiyo itapunguza mlundikano wa kesi na pia itarahisisha na kusogeza huduma za kimahakama karibu na wananchi, hii ni hatua muhimu sana ktk kufikia maendeleo na amani ktk mkoa wa DSM. RC...
  18. L

    Ujenzi wa stendi(terminal) ya mabasi ya Mikoani uharakishwe

    Kuna tamko la uongozi wa mkoa wa DSM lilitolewa yapata miezi miwili sasa juu ya ujenzi wa Kituo kikubwa na cha kisasa cha mabasi ya abiria yanayotoka mikoani na nchi Jirani, Na ilipendekezwa kituo hicho kujengwa nje kidogo kama sijakosea ni kibamba au luguruni. Hadi leo hii sidhani kama kuna...
Back
Top Bottom