Search results

  1. E

    Computer case deals

    Kuna anaye jua option nzuri yakununua pc casing kwasababu shipping ni expensive kati cases zipo zinauzwa bei poa. Option kama easybuy, myus sema cheaper. China zipo cases nyingi nzuri sana sema sina shipping company ambayo imetulia
  2. E

    Playstation 4 inapatikana wapi moshi?

    Jamani wapi huku moshi naweza kupata ps4?
  3. E

    Msaada na plasma TV inaonesha chenga

    Msaada na TV yangu, inaonyesha chenga chenga imetumika kama miaka miwilli hivi inasemekana tatizo hili hutokeaga kwenye plasma tv's peke yake. Naomba mtu yoyote anaye elewa hii tatizo atoe ushauri.. nime upload video fupi tuu kuonyesha tatizo lake zaidi. Kama unamjua fundi mzuri wa plasma naomba...
  4. E

    Where to get Verbatim DL Dvds 8.5gb?

    Aisee kuna mtu yoyote anajua wapi wanapo uza verbatim dl dvd's bongo? Nitafurahi sana nikiweza kuzipata hapa hapa dar es salaam...
  5. E

    FLASH XBOX 360 CONSOLE (PHAT)(Zile kubwa)

    Nina fllash xbox 360 console kuwezesha console yako kucheza game za copy. Unaweza kudownload games toka GamesTorrents - Bittorrent Juegos PC PS2 PSP XBOX360 na kuzi burn mwenyewe kutumia Dvd za 8.5 gb. Nina flash kwa Tsh 80,000. Email eliufive@yahoo.com if your interested. Nipo karibu na mlimani...
Back
Top Bottom